Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Kwa hili upo sahihi. Tupo pamoja. Hakuna haja ya vijana kujipa kazi ambazo sio zao kwa lengo la kutaka kupata misifa pasipo kujua kuwa wanaweza kuhatarisha maisha yao...hakuna haja ya vijana kujinasibu na usalama kwa kudhani kuwa wataonekana matawi na mpunga wa nguvu.