Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #41
Sasa mbona hii mbinu mlikuwa hamuitumii badala yake mkawa mnaomba msaada wa Police?Hawa panya road si ni kitendo cha kumpa gongo mjumbe akataja wahuni wote maana wanajulikana kabisa.
Upo sahihi sana mkuu.
Mimi hii trend nilianza kuiona muda mrefu sana mkuu, hususan kwa ndugu, jamaa na rafiki zangu ninaokutana nao mara kwa mara.
Unakuta mtu amenyoa kichwani kama askari (Crew Cut) kisha mustache amenyoa kama Police, alafu amechomekea mkanda nje kama boss fulani hivi na kuanza kuwadanganya watu kuwa yupo kwenye system.
Niliwahi kuwaambia kuwa hii ni hatari sana kwa maisha yao na wasidhanie kuwa ni sifa nzuri hata kidogo.
Msaada uliombwa police na sio usalama wa taifa. Kwanza ofisi zao unaendaje kutoa taarifa, tena taarifa zenyewe panya road vitoto vya 17yrs venye marungu na kuiba kwenye vibanda vya chips. Kazi ya sungusungu walio organized inaweza kukamata wajinga wote hao.Sasa mbona hii mbinu mlikuwa hamuitumii badala yake mkawa mnaomba msaada wa Police?
Ndio hivyo mkuu. Upo sahihi sana.Mtu anaweza kwenda kufanya tukioa akaanza kukuua ww akihisi ni mwanausalama kumbe no Boya flan tu
Kwani Police sio usalama wa taifa? Wao hawalilindi taifa? TISS ni idara ya ujasusi ambao ni sehemu ya usalama wa taifa...Msaada uliombwa police na sio usalama wa taifa.
Ukiachana na Director General wa TISS, ni mfanyakazi au agent gani wa hii taasisi anajulikana in public?mkuu TISS ni maafisa rasmi wa kazi ya usalama,lakini meno yao yanatoka vyombo vingine.
so usishangae sana mtu anapowanasibisha na kazi zozote za kawaida za kiusalama.
Hakuna...Ukiachana na Director General wa TISS, ni mfanyakazi au agent gani wa hii taasisi anajulikana in public?
Utaenda kutoa taarifa Police...Utaenda kushitaki kwa nani ambaye kavaa kiraia, au kiaskari, au kidaktari wakati anakana hiyo tittle na hawezi kuwa responsible kwa hatua unazotaka.
Malalamiko yanatolewa Police kisha wao wanawasiliana na TISS pale wanapohitaji msaada wao.Uliwahi sikia mtu kaenda ofisi ya TISS kutoa malalamiko kama tunavyoenda polisi.
Mimi nalilinda taifa wakati sio polisi, mgambo wala TISS.Kwani Police sio usalama wa taifa? Wao hawalilindi taifa? TISS ni idara ya ujasusi ambao ni sehemu ya usalama wa taifa...
Wewe pia ni sehemu ya usalama wa taifa kwa maana ulinzi wa taifa hili ni jukumu la kila mtanzania katika nafasi aliyonayo.Mimi nalilinda taifa wakati sio polisi, mgambo wala TISS.
Wakihitaji msaada wao wanawaita ndio lakini sio scenario ya panya road uliyosema. Polisi wana wapelelezi, mwaka jana nilikuta mtu kafa nikaita watu tukashangaa kisha akapelekwa hospitali kupimwa. Nikaenda nyumbani nikajikuta usiku watu wawili wanakuja kuchukua maelezo kwangu. Walisema wametokea Stakishari na ni askari upelelezi. Sikuhitaji ID wakachukua maelezo ambayo bahati nzuri niliyakumbuka vema kabisa wakaondoka.Malalamiko yanatolewa Police kisha wao wanawasiliana na TISS pale wanapohitaji msaada wao.
Panya road ni kama mfano tu wa matukio ya kihalifu yaliyokuwa yanaendelea katika jamii yetu ya huku Dar.Wakihitaji msaada wao wanawaita ndio lakini sio scenario ya panya road uliyosema.
Kwa hiyo watu wa usalama wa MOSSAD uliotaja ni sawa na mkulima wa mahindi babu yako.Wewe pia ni sehemu ya usalama wa taifa kwa maana ulinzi wa taifa hili ni jukumu la kila mtanzania katika nafasi aliyonayo.
Babu yangu analima mahindi kijijini Rorya ekari mpaka 30 kwa mwaka.
Yeye pia ni sehemu ya usalama wa taifa kwa maana analilinda taifa letu dhidi ya adui njaa.
Upo sahihi kabisa mkuu.Polisi wana wapelelezi,
Ukiachana na Director General wa TISS, ni mfanyakazi au agent gani wa hii taasisi anajulikana in public?
Utaenda kushitaki kwa nani ambaye kavaa kiraia, au kiaskari, au kidaktari wakati anakana hiyo tittle na hawezi kuwa responsible kwa hatua unazotaka.
Uliwahi sikia mtu kaenda ofisi ya TISS kutoa malalamiko kama tunavyoenda polisi.
Pole sana kwa mkasa ndugu yangu.mwaka jana nilikuta mtu kafa nikaita watu tukashangaa kisha akapelekwa hospitali kupimwa. Nikaenda nyumbani nikajikuta usiku watu wawili wanakuja kuchukua maelezo kwangu. Walisema wametokea Stakishari na ni askari upelelezi. Sikuhitaji ID wakachukua maelezo ambayo bahati nzuri niliyakumbuka vema kabisa wakaondoka.
Stakishari ni kituo cha watu wa usalama wa taifa wanaojulikana kama Police...Now, Stakishari si kituo cha Usalama wa Taifa
Upo sahihi mkuu.wale watu hawakuwa TISS ila walipeleleza kesi.