Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

Mtu wa usalama amekuja kuharibu uzi
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Tiss bhana kuna muda ni fakeni sana
Achana naye mkuu. Sisi ngoja tutoe elimu kwa vijana wenzetu.
 
Upo sahihi kabisa mkuu. Njaa pia ni sehemu ya adui wa taifa ndio maana kuna wizara maalum ya kushughulika na kilimo pamoja na mamlaka mahusus ya uhifadhi wa chakula (NFRA).

The same applies to Isarael and its intelligence apparatus, the MOSSAD...
Kama wewe in mfugaji wa ng'ombe na unataka maziwa mengi na nyama mono no lazima ng'ombe hao walishwe vizuri na pia vyakula vyenye lishe. Vinginevyo utakufa ghafla kwa ugonjwa wa COVID-19
 
kwamba panyaroad sio level za TISS!!!!bora ungesema sio level za polisi ungekuwa unakaribia ukweli.

mkuu TISS haina dogo kaka unavyofikiri.kila jambo hulichukulia kwa uzito mkubwa,maana madhala hayatabiriki yatagusa wapi??
Panya road ni vibaka, wezi wa masufuria na mashuka, walevi wa viroba na drugs. Silaha zao ni manati, fimbo, rungu, visu, bisibisi.

TISS haina staff wa kutosha kudeal na cheap security threats kama hizi. Focus yao ni kwenye national level threats; ugaidi, maasi, information, foreign clandestine operations, wageni wa kutilia shaka, some high ranking individuals kama mabalozi na majenerali.

Hawa Panya road kina Roja, Kala Dogi, Man Fiaso ndo wapambane na TISS? Mimi tu that time wanasumbua nilikuwa O Level kama ningehakikishiwa usalama si ningebeba wote kutoka machimbo yao. Ulikuwa utashi tu wa kisiasa na kijamii.
 
Mtu unaanzaje kutamani kuwa usalama

Darkness inside...... Living as a shadow
 
Mtu wa usalama amekuja kuharibu uzi [emoji23][emoji23][emoji23]

Tiss bhana kuna muda ni fakeni sana
Mkuu nilitaka kuku-tag ila nikahisi kwa vile hukai sana jukwaani nikajua utachelewa sana kureply. Ni kweli kuwa TISS wanahusika na kupambana na Panya road. Je ni kweli wakulima wa mahindi nao ni party ya TISS?
 
Panya road ni vibaka, wezi wa masufuria na mashuka, walevi wa viroba na drugs. Silaha zao ni manati, fimbo, rungu, visu, bisibisi.

TISS haina staff wa kutosha kudeal na cheap security threats kama hizi. Focus yao ni kwenye national level threats; ugaidi, maasi, information, foreign clandestine operations, wageni wa kutilia shaka, some high ranking individuals kama mabalozi na majenerali.

Hawa Panya road kina Roja, Kala Dogi, Man Fiaso ndo wapambane na TISS? Mimi tu that time wanasumbua nilikuwa O Level kama ningehakikishiwa usalama si ningebeba wote kutoka machimbo yao. Ulikuwa utashi tu wa kisiasa na kijamii.

so ni kama unataka kusema TISS kwa sasa wamekaa tu ofisini wanakunywa maziwa ya unga???

maana ulivyovitaka vyote havipo tz.
 
so ni kama unataka kusema TISS kwa sasa wamekaa tu ofisini wanakunywa maziwa ya unga???

maana ulivyovitaka vyote havipo tz.
Vitu gani nimetaja havipo. Kutokuwepo ni ushahidi kuwa wanafanya kazi yao.
Unataka kusema TISS wapo wanatafuta panya road na vibaka ili wasikae bure ofisini. 24/7 around the clock wapo kazini ila sio dhidi ya panya road.
 
I've red the whole Bible, from Genesis to Revelation. I've never ever seen that name. There are only two Angeles mentioned. Gabriel and Michael. No Lucifer
I've also red the whole Bible, from Genesis to Revelation. I've repeatedly seen that name.
 
Mkuu nilitaka kuku-tag ila nikahisi kwa vile hukai sana jukwaani nikajua utachelewa sana kureply. Ni kweli kuwa TISS wanahusika na kupambana na Panya road. Je ni kweli wakulima wa mahindi nao ni party ya TISS?
Usikute kwenye panyaroad nako ni Tiss wapo [emoji23]

Mkulima wa mahindi si tisi [emoji6]

Ni mumossadi [emoji41][emoji1][emoji28]
 
Back
Top Bottom