Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #81
Achana naye mkuu. Sisi ngoja tutoe elimu kwa vijana wenzetu.Mtu wa usalama amekuja kuharibu uzi![]()
![]()
![]()
Tiss bhana kuna muda ni fakeni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana naye mkuu. Sisi ngoja tutoe elimu kwa vijana wenzetu.Mtu wa usalama amekuja kuharibu uzi![]()
![]()
![]()
Tiss bhana kuna muda ni fakeni sana
Kama wewe in mfugaji wa ng'ombe na unataka maziwa mengi na nyama mono no lazima ng'ombe hao walishwe vizuri na pia vyakula vyenye lishe. Vinginevyo utakufa ghafla kwa ugonjwa wa COVID-19Upo sahihi kabisa mkuu. Njaa pia ni sehemu ya adui wa taifa ndio maana kuna wizara maalum ya kushughulika na kilimo pamoja na mamlaka mahusus ya uhifadhi wa chakula (NFRA).
The same applies to Isarael and its intelligence apparatus, the MOSSAD...
Panya road ni vibaka, wezi wa masufuria na mashuka, walevi wa viroba na drugs. Silaha zao ni manati, fimbo, rungu, visu, bisibisi.kwamba panyaroad sio level za TISS!!!!bora ungesema sio level za polisi ungekuwa unakaribia ukweli.
mkuu TISS haina dogo kaka unavyofikiri.kila jambo hulichukulia kwa uzito mkubwa,maana madhala hayatabiriki yatagusa wapi??
Sawa nitakufa ghafla nimekuelewa. Njoo uniue basi mkuu boss?Vinginevyo utakufa ghafla kwa ugonjwa wa COVID-19
SawaKama wewe in mfugaji wa ng'ombe na unataka maziwa mengi na nyama mono no lazima ng'ombe hao walishwe vizuri na pia vyakula vyenye lishe.
Mkuu nilitaka kuku-tag ila nikahisi kwa vile hukai sana jukwaani nikajua utachelewa sana kureply. Ni kweli kuwa TISS wanahusika na kupambana na Panya road. Je ni kweli wakulima wa mahindi nao ni party ya TISS?Mtu wa usalama amekuja kuharibu uzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Tiss bhana kuna muda ni fakeni sana
Upo sahihi sana mkuu...Panya road ni vibaka, wezi wa masufuria na mashuka, walevi wa viroba na drugs. Silaha zao ni manati, fimbo, rungu, visu, bisibisi.
Panya road ni vibaka, wezi wa masufuria na mashuka, walevi wa viroba na drugs. Silaha zao ni manati, fimbo, rungu, visu, bisibisi.
TISS haina staff wa kutosha kudeal na cheap security threats kama hizi. Focus yao ni kwenye national level threats; ugaidi, maasi, information, foreign clandestine operations, wageni wa kutilia shaka, some high ranking individuals kama mabalozi na majenerali.
Hawa Panya road kina Roja, Kala Dogi, Man Fiaso ndo wapambane na TISS? Mimi tu that time wanasumbua nilikuwa O Level kama ningehakikishiwa usalama si ningebeba wote kutoka machimbo yao. Ulikuwa utashi tu wa kisiasa na kijamii.
Wanalima chakula na kulilinda taifa dhihi ya adui njaa.Je ni kweli wakulima wa mahindi nao ni party ya TISS?
Mkuu sina uhakika kabisa hata hiyo asilimia moja.Una uhakika na unachoongea japo kwa asilimia moja ?
I've red the whole Bible, from Genesis to Revelation. I've never ever seen that name. There are only two Angeles mentioned. Gabriel and Michael. No LuciferMany Christians believe the Devil was once a beautiful angel named Lucifer who defied God and fell from grace.
Hata mimi ninashangaa...so ni kama unataka kusema TISS kwa sasa wamekaa tu ofisini wanakunywa maziwa ya unga???
Vitu gani nimetaja havipo. Kutokuwepo ni ushahidi kuwa wanafanya kazi yao.so ni kama unataka kusema TISS kwa sasa wamekaa tu ofisini wanakunywa maziwa ya unga???
maana ulivyovitaka vyote havipo tz.
I've also red the whole Bible, from Genesis to Revelation. I've repeatedly seen that name.I've red the whole Bible, from Genesis to Revelation. I've never ever seen that name. There are only two Angeles mentioned. Gabriel and Michael. No Lucifer
Sasa kwanini kwenye uzi umetuonya. Ulitaka tusijivunie kuwa wakulima wa mahindi ili maadui wasituvamie.Wanalima chakula na kulilinda taifa dhihi ya adui njaa.
Usikute kwenye panyaroad nako ni Tiss wapo [emoji23]Mkuu nilitaka kuku-tag ila nikahisi kwa vile hukai sana jukwaani nikajua utachelewa sana kureply. Ni kweli kuwa TISS wanahusika na kupambana na Panya road. Je ni kweli wakulima wa mahindi nao ni party ya TISS?
Bora [emoji817]Mkuu sina uhakika kabisa hata hiyo asilimia moja.
Kuna baadhi ya movies za wazungu ni mbaya sana kama sisi wenyewe tutaziendekeza.movie zimetuharibu bro [emoji2]
kila mtu anataka kuonekana superhero