Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay...nmegundua ina advantage nyingi za kiusalama hii title ikija yenyewe
Sawa mkuunmegundua ina advantage nyingi za kiusalama hii title ikija yenyewe na usipoitumia hata kidogo acha watu wahis tu ila ukiitafuta ndio lazima uilipie
Daaah, hiyo mbaya sana mkuu hao jamaa wangeweza hata kumdhuru aiseenlipita mitaa ya mchikichini na mshkaji mmoja ivi, wahuni wote wakakimbia wanajua mi mtu wa system sikupenda kabisa.
Daaah, unaona sasa mkuu. Kufananisha na hawa ndugu zetu sio jambo jema hata kidogo...Rafiki yangu aliwah kutekwa akiwa chuo mwaka wa pili, alipanga chumba uswahilini huko sas ile akitoka asubuhi amechomekea vzuri kiatu kikali begi ya kiofisi kurudi jioni watu hawaelewi ana mishe gani. Wakawa wanamuhisi ni usalama.
Watu hawajui tu, kuna mambo mengi mabaya yanaendelea humu mitaani na adui wao wa kwanza n watu wa usalama. Sasa wakiona kuna mtu wa usalama anaingia anga zao lazima wadeal na wewDaaah, unaona sasa mkuu. Kufananisha na hawa ndugu zetu sio jambo jema hata kidogo...
Very very true...Watu hawajui tu, kuna mambo mengi mabaya yanaendelea humu mitaani na adui wao wa kwanza n watu wa usalama.
Wanaweza ata kukuua mkuu. Hakika kupenda sifa ni jambo baya sanaSasa wakiona kuna mtu wa usalama anaingia anga zao lazima wadeal na wew
Inasikitisha sana mkuuSiku moja akaweka madawa kweny juice akiwa kituoni anasubiri daladala kuja kushtuka yupo porini huko jamaa wamemtaiti kwann anafuatilia mishe zao na ametumwa na nani.
Kumbe ule mtaa kulikua na genge la mapusha wakahisi jamaa yupo kwaajili ya kuwafuatilia. Bahati ilikua kwake walikuja kumuachia baada ya sku tatu na mtaa akahama.
Ulichosema n kweli kabisa sio ufahari kujinasibu kuwa mtu wa usalama wakat sio kuna watu wanamambo yao ya kiharifu na adui wao wa kwanza n watu wa usalama.
Asante mkuuBlessed mkuu
HakikaUdhalili wa hiyo kazi ni tofauti na kazi nyingine
Kama si dharau ni nini?Kumuita mtu njaa haimaanishii umemdharau.
Ntwara ndio wapi?Hata Ntwara?
Upo UWT?CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.