Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama usifurahie. Hiyo sio sifa nzuri. Unaweza ukadhurika kwa bahati mbaya (Mistaken Identity)

Rafiki yangu aliwah kutekwa akiwa chuo mwaka wa pili, alipanga chumba uswahilini huko sas ile akitoka asubuhi amechomekea vzuri kiatu kikali begi ya kiofisi kurudi jioni watu hawaelewi ana mishe gani. Wakawa wanamuhisi ni usalama.
Siku moja akaweka madawa kweny juice akiwa kituoni anasubiri daladala kuja kushtuka yupo porini huko jamaa wamemtaiti kwann anafuatilia mishe zao na ametumwa na nani.
Kumbe ule mtaa kulikua na genge la mapusha wakahisi jamaa yupo kwaajili ya kuwafuatilia. Bahati ilikua kwake walikuja kumuachia baada ya sku tatu na mtaa akahama.
Ulichosema n kweli kabisa sio ufahari kujinasibu kuwa mtu wa usalama wakat sio kuna watu wanamambo yao ya kiharifu na adui wao wa kwanza n watu wa usalama.
 
Daaah, unaona sasa mkuu. Kufananisha na hawa ndugu zetu sio jambo jema hata kidogo...
 
Siku moja akaweka madawa kweny juice akiwa kituoni anasubiri daladala kuja kushtuka yupo porini huko jamaa wamemtaiti kwann anafuatilia mishe zao na ametumwa na nani.
Kumbe ule mtaa kulikua na genge la mapusha wakahisi jamaa yupo kwaajili ya kuwafuatilia. Bahati ilikua kwake walikuja kumuachia baada ya sku tatu na mtaa akahama.
Ulichosema n kweli kabisa sio ufahari kujinasibu kuwa mtu wa usalama wakat sio kuna watu wanamambo yao ya kiharifu na adui wao wa kwanza n watu wa usalama.
Inasikitisha sana mkuu
 
Back
Top Bottom