Na wanatake advantage ya uoga wa kizuzu wa watanzania, huyu mshenzi sio wanajeshi,angeyafanya haya hapo Botswana, angeshapandishwa mahakamani,na raia mhusika angefungua kesi ya criminal na baadaye ya Madai dhidi ya minister of defenseHawa ni wauwaji wakubwa sana ndio michezo Yao hii full roho mbaya
Msafara Bado Unaendelea ujitokeze na wewe kama huyo ili uone ngumi kama hiyonukipigwa ni ya kawaida au laMbona ngumi ya kawaida tu. We naye unataka kukuza vitu hata havistahili kukuzwa.....hakuna maajabu kwenye hiyo ngumi
Ngumi ilikuwa ya kushtukiza sanaKwa uangukaji ule lazima kuna damage
Nimeona hata jirani zake hawajathubutu kumusaidia kuinuka ni kama nao wanashangaa
Hiyo ni kurudisha adabu ya wananchi kwa serikali yao,maana raia wanaizowea Sana serikali,wenzake wapo nyuma yeye futi tatu mbele kwenye line wanayopita walinzi walio mbio,alitaka mlinzi aanguke!?Safi kabisa, huyo alitaka kuingia barabarani, akajirudi, hiyo ngumi ya kushoto ni nzuri sana, huyo mwananchi hajui hata kukwepa ngumi, alafu kwanini asogee barabarani kiasi hicho, kosa hilo
Hahaaa......chawa kala ngumi ya kufa mtuMsafara Bado Unaendelea ujitokeze na wewe kama huyo ioi uone ngumi kama hiyo ya kawaida au la
Punch ya serikali ile,haponi yule..punch za serikali chunguHuyo jomba akinyanyuka hapo,Mungu anampenda asee!
Kama ana magonjwa yake anaweza kufa asee
Msiba hauchagui wanakuwemo wote hapo wengine wameacha vitanda walikuwa lodgeNendeni tu kuzika ila Viroba vya pombe mnavyokunywa Arusha msiende navyo Monduli
Naunga mkono hojaNa wanatake advantage ya uoga wa kizuzu wa watanzania, huyu mshenzi sio wanajeshi,angeyafanya haya hapo Botswana, angeshapandishwa mahakamani,na raia mhusika angefungua kesi ya criminal na baadaye ya Madai dhidi ya minister of defense
Inasikitisha sana πAtakuwa alitaka kufanyia zoeziπ
ππ πHata Miye ningeshangaa maana unaweza kuhisi anarudi kukupiga na Wewe jirani yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
Nimetazama mkuu nadhani haikua sawa kupigwa ngumi... watu wa usalama wataliangalia hili kwa ukaribuIngia hapa utaiona.
Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.www.jamiiforums.com
Jamaa kapigwa bonge la ngumi ya uso..!!
CC Shadow7, OKW BOBAN SUNZU
Halafu nzitoNgumi ilikuwa ya kushtukiza sana
Haondiyo wana usalama wetu.Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliekua akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowasa
Sio Kwa Ngumi hii aisee halafu Huyu aliepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisaView attachment 2904937
Ile ngumi ipewe tuzo kama ngumi ya mwaka 2024Huyo jomba akinyanyuka hapo,Mungu anampenda asee!
Kama ana magonjwa yake anaweza kufa asee
Nakusubiriaaa ukimaliza nistue....nikupelekekumbe ndio wew mwenye t-shirt la Chelsea na koti jeusi la ngozi na kapelo nyeusi apo ?π
boda ulipaki wapi sasa π
R.I.P Laigwanan comrade ENL
Ahahahhahaha aisee hizo ngumi za sampuli hii unazikuta Ukraine, Gaza na maeneo kama Chechinia.Aisee kapiga kama anataka kumuua.
Hii kazi ina laana
Amsogeze kistaarabu mtu yupo kwenye mbio sambamba na gari!?..yaani hapo alitaka sababisha ajali,hiyo ngumu ndiyo sawasawaSijaelewa hata kama kulikuwa na Ulazima wa kumpiga hivi au angeweza tu kumsogeza pembeni kistaarabu
I hope yuko salama aliyepigwa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]View attachment 2904982