Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Hawa ni wauwaji wakubwa sana ndio michezo Yao hii full roho mbaya
Na wanatake advantage ya uoga wa kizuzu wa watanzania, huyu mshenzi sio wanajeshi,angeyafanya haya hapo Botswana, angeshapandishwa mahakamani,na raia mhusika angefungua kesi ya criminal na baadaye ya Madai dhidi ya minister of defense
 
Safi kabisa, huyo alitaka kuingia barabarani, akajirudi, hiyo ngumi ya kushoto ni nzuri sana, huyo mwananchi hajui hata kukwepa ngumi, alafu kwanini asogee barabarani kiasi hicho, kosa hilo
Hiyo ni kurudisha adabu ya wananchi kwa serikali yao,maana raia wanaizowea Sana serikali,wenzake wapo nyuma yeye futi tatu mbele kwenye line wanayopita walinzi walio mbio,alitaka mlinzi aanguke!?
 
Nendeni tu kuzika ila Viroba vya pombe mnavyokunywa Arusha msiende navyo Monduli
Msiba hauchagui wanakuwemo wote hapo wengine wameacha vitanda walikuwa lodge

Ila maisha ya Arusha nayo yanajijua yenyewe jamaa aliamkia kuzimua
 
Na wanatake advantage ya uoga wa kizuzu wa watanzania, huyu mshenzi sio wanajeshi,angeyafanya haya hapo Botswana, angeshapandishwa mahakamani,na raia mhusika angefungua kesi ya criminal na baadaye ya Madai dhidi ya minister of defense
Naunga mkono hoja
 
Ingia hapa utaiona.


Jamaa kapigwa bonge la ngumi ya uso..!!

CC Shadow7, OKW BOBAN SUNZU
Nimetazama mkuu nadhani haikua sawa kupigwa ngumi... watu wa usalama wataliangalia hili kwa ukaribu
 
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliekua akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowasa

Sio Kwa Ngumi hii aisee halafu Huyu aliepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisaView attachment 2904937
Haondiyo wana usalama wetu.
Na hapo ana kinga ya kutoshtakiwa hata akiua.

Kwa hiyo muombolezaji alikuwa anatishia usalama wa marehemu siyo?

Tanzania nakulilia. Sijui nini kimetukumba nchini.

Thamani ya raia ni kama nzi mbele ya wanausalama wetu
 
Back
Top Bottom