Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Hawa vijana wetu tunaochukua wa Div 4 ya mwisho wanatupa shida sana. Imagine Taasisi nzima inaonekana hamnazo kisa mtu mmoja kama huyu. Pole sana kwa mwathirika waa tukio hili.
Kila kitu chochote kikichukua muda mwingi athari sio ya kiuchumi hata kijamii inatatizika. Waislam akifa anazikwa chap chap kuepusha hayo
 
Mkuu umeongea Kwa uchungu sana
 
Na wewe ukakaa kimya hadi leo kuja kulalama humu, unasikitisha sana,maana umeruhusu hawa washenzi to go away with murder
Mkuu nilijilaumu sana kutochukua video, ilinishangaza wanavyohubiri kuhusu wanyonge, na walichomfanya huyo boda nikabaki nasikitika yaani bila katiba mpya hakuna rangi tutaacha kuona
 
Hata mimi nilimuona pale azania front jashk linamtoka
 
Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa

Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.

Mlinzi badala ya kulinda, yeye anashambulia? Kanuni za ulinzi jukumu la kwanza kabisa ni ku protect, lakini huyo ame attack first na ame attack pasipo sababu ya kufanya hivyo.
 
Ila kibongobongo huyo aliyepigwa
Ndy ashakuwa maarufu,ngoja wakina
Millard global na wambea wengine
Wamtafute wamhoji wampe airtime

Ova
 
Mama Samia atasema huyo siyo askari wa aliyeajiriwa na kufundishwa na Chama Cha Mapinduzi, askari wa CCM hawezi akakupiga ukaamka.
 
Ndo mana wanachomwa visu, Sasa angekutana na mtu aliye pinda hafu nae akaenda kujibu mashambulizi kwa Kasi ya jet.
Escort yote Ile wanajeshi makomandoo wote wale na polisi special unit wote wale na walinzi wa usalama wa taifa wote wale mbona angesagwa kama unga inayosaga mashine ya kusaga

Misafara wa maiti ya Lowasa waziri mkuu mstaafu Ile gari ya mbele ya maiti ya JWTZ inaongozwa na na generali wa nyota tatu Yuko mle ndani hujaona gari yenye nyota tatu mbele ya Jeneza la Lowasankwenye plate number? Generali nyota tatu Ulinzi wake ujue ukivamia hata Mlinzi wake ni sawa na kuua huyo generali hata ukijeruhi tu inahesabika umemjeruhi generali sio Mlinzi tu

Yule Mlinzi kazi zake zilikuwa mbili kulinda generali wa nyota tatu na kulinda maiti angethubutu huyo bwege kutoa kisu maiti yake hata hakuna ambaye angeitambua ni nani wangemsaga kama unga wa ngano ya Bakhresa
 
Ila kibongobongo huyo aliyepigwa
Ndy ashakuwa maarufu,ngoja wakina
Millard global na wambea wengine
Wamtafute wamhoji wampe airtime

Ova
Very nice comment. Angefanya hivyo lingekuwa jambo la busara. Hili tukio limeniuma sana.
Ningekuwa mimi na msafara ungesimama kwanza tuzipige
 
Tuna safari ndefu. Usijaribu kumpa kichaa jukumu la kuwalinda vichaa wenzie. Hii inatokea hata kwa polisi wetu, polisi failures wanalinda mali za failures kinachofata ni virungu na mitama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…