Kila kitu chochote kikichukua muda mwingi athari sio ya kiuchumi hata kijamii inatatizika. Waislam akifa anazikwa chap chap kuepusha hayoHawa vijana wetu tunaochukua wa Div 4 ya mwisho wanatupa shida sana. Imagine Taasisi nzima inaonekana hamnazo kisa mtu mmoja kama huyu. Pole sana kwa mwathirika waa tukio hili.