Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Amejitakia msiba wa mtu sio baba Yako, sio mama Yako...unaacha kazi zako unajipanga barabarani, mie bado sana wazimu huo hujanipata bado
[emoji16][emoji3459][emoji3459][emoji108][emoji1732]K


ana kiherehere sana

Kiherehere kimemponza.

Anapunga mikono kwa hisia anamuomboleza FISADI LOWASA!! Daah!

Alivyonyoosha mikono akakumbana na ngumi ya kimkakati.
 
Watanzania tuache kukuza mambo, huyo raia hakuwa na sababu ya msingi ya kutaka kuzuia msafara ambao upo kwenye mwendo na unaozingatia muda.

Halafu siyo huyo jamaa tu, kuna raia wengi tu wamepigwa na kusukumwa pembeni walipojaribu kuingia barabarani.

Hata kwenye msafara wa msiba wa JPM, kuna wanakijiji walipoizibia njia ile Hamvee walichezea vibao pia kutoka kwa Afisa mmoja bonge hivi alikuwa kwenye ile V8 iliyokuwa mbele ya Hamvee.

Mwisho, hiyo misafara siyo ya kuigasi inapokuwa kwenye mwendo, ndiyo maana kila inapopita magari mengine lazima yakae pembeni.
 
Mtu akijazia kupitiliza huwa na akili zinapungua..
 
Aisee.
 
Ngumi moja ya kawaida hiyo, hivi unadhani kufa ni rahisi tu, nikupe taarifa kufa ni ngumu sio rahisi rahisi hivyo, huyo kataka mwenyewe kupigwa sbb kaenda barabarani kabisa, atajifunza next time
Watu wengine sijui akili zenu mnaziweka wapi? Hivi hamjui kuwa kuna watu wenye matatizo ya aina mbalimbali ikiwemo akili? Kuzaliwa kwenye ushenzi ushenzi ni mzigo mkubwa. Unafikiria kipigo ndiyo njia nzuri ya kufundisha muda wote. Huwa nawashakuru sana wazazi wangu kwa kunilea kwenye maadili ya utu.
 
Wako walevi wakorofi aweza toa kisu nk Mlinzi kampa huduma ya kwanza ya ngumi Hadi chini na kuzimia na kuhakikisha Hana Cha kufanya ili yeye aendelee na msafara

Huo Msiba mkubwa sio wa walevi wa mitaani huo
Mwenzetu ulizaliwa au ni matokeo ya mimea?
 
Ndio wajue kuheshimu taratibu. Hao ni makomandoo wanakuzima kweli.
Kwa jinsi huyo mlinzi wa Escort alivyo perform huo msafara naamini Kabisa huyo hakuingia kwenye jeshi Wala Escort kwa ki memo Cha kuwa naomba mwanangu aajiriwe jeshi na mumuweke kitengo cha Escort kwenye posho za safari na yeye awe anapata posho huyo kaiva kijeshi kajibeba mwenyewe kafika hapo kwa performance tu sio kimemo.Ngumi kapiga mtoto ajiriwa kwa kimemo na kuwekwa msafara wa Escort uwezo huo Hana.

Kidume yuko fit

Utendaji huo kaonyesha sio wa kubebwa na kimemo au Godfather au Godmother yuko fit anajibeba mwenyewe utendaji wake tu hata kama ana Escort maiti

Hongera kwa walioona anafaa Escorr yeye ni no nonsense soldier kwenye Escort anajua wajibu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…