proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Mnyonge anazidi kuwa mnyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na angeshika M16 angesambaratisha dunia yoteHuyu mlinz angekuw ameshika AK_47 si angeua wotee
Dah my country [emoji846][emoji846]
Huo unalindw ni mwil wa marehemu je angekuw proper (official si angeuliwa kbsa
lakini ukiona mzaha aliyokuwa anafanya?bora kamtwanga ngumi.shenzi zakeMlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa
Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
Hiyo ngumi jina lake kijeshi inaitwa wewe ni mavumbi na utarudi mavumbini
Imemwangusha mavumbini
Mpigaji Yuko fit
Amejitakia msiba wa mtu sio baba Yako, sio mama Yako...unaacha kazi zako unajipanga barabarani, mie bado sana wazimu huo hujanipata bado
[emoji16][emoji3459][emoji3459][emoji108][emoji1732]K
ana kiherehere sana
Ndio wajue kuheshimu taratibu. Hao ni makomandoo wanakuzima kweli.Mlinzi wa msafara amtwanga bonge ya ngumi raia mwema aliyekuwa akijumuika barabarani kwenye maombolezo ya msiba wa Lowassa
Sio kwa ngumi hii aisee halafu huyu aliyepigwa inaonekana kama amekata Moto kabisa.
Mtu akijazia kupitiliza huwa na akili zinapungua..Kwahiyo huyo mlinzi alikuwa anahofia huyo jamaa anaweza kumdhuru kwa kumjeruhi au hata kumuua maiti! Hayo majamaa yanakuaga majinga sana hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
Aisee.Hakuna lolote, hawa ni WATCH-DOGS wa wenye mamlaka.
Ukiwa unamiliki MBWA MTIIFU unakuwa UNAWASAKIZIA kwa maadui zako huku wewe umetulia tuli. Malipo ya mbwa mtiifu ni mifupa michache na ugali mbichi wa pumba.
Hii ni saikolojia rahisi tu ya UDHIBITI WA JESHI. Unawatumia kikamilifu kwa faida ya kujitwalia mamlaka, ukuu, mali na fedha, huku wao wakitumika katika mambo wasiyoyaelewa na ambayo wanadhani wanayaelewa ambayo kimsingi hawayaelewi.
Binafsi nawapenda sana hawa MADIVISHENI FOO wenye bunduki. Ukiwa na mamlaka unawatumia kirahisi na kizembe sana kwa faida yako.
A brainless and a less intelligent police or military personnel is a very good asset to utilize.
Unampa machicha machache tu na kumfanyia brainwashing kidogo basi anabweka usiku kucha na mtutu wake wa SMG huku wewe unatumbua minofu kiulaini.
Watu wengine sijui akili zenu mnaziweka wapi? Hivi hamjui kuwa kuna watu wenye matatizo ya aina mbalimbali ikiwemo akili? Kuzaliwa kwenye ushenzi ushenzi ni mzigo mkubwa. Unafikiria kipigo ndiyo njia nzuri ya kufundisha muda wote. Huwa nawashakuru sana wazazi wangu kwa kunilea kwenye maadili ya utu.Ngumi moja ya kawaida hiyo, hivi unadhani kufa ni rahisi tu, nikupe taarifa kufa ni ngumu sio rahisi rahisi hivyo, huyo kataka mwenyewe kupigwa sbb kaenda barabarani kabisa, atajifunza next time
Kwahiyo jamaa kampiga baba wa watu kwa sababu alitaka kuiba maiti auToo late. By the time unazinduka msafara uko Monduli na wewe hospitali unajiuliza umefikaje huku unasikia maumivu makali shingoni. 🤣🤣😇😇
Baba wa watu kaniuma jamani sasa wamempigia niniUngepata tabu sana Mkuu
Kichaa ni huyo anayecheza barabarani bila sababu na kuhatarisha maisha yakenchi ya vichaa
Alitaka kuhatarisha usalama wa maiti.Kwahiyo jamaa kampiga baba wa watu kwa sababu alitaka kuiba maiti au
Hii ni hatari sanaMbaya Zaidi kampiga ngumi mlevi,
Hii Kazi za ulinzi ni laana
Mwenzetu ulizaliwa au ni matokeo ya mimea?Wako walevi wakorofi aweza toa kisu nk Mlinzi kampa huduma ya kwanza ya ngumi Hadi chini na kuzimia na kuhakikisha Hana Cha kufanya ili yeye aendelee na msafara
Huo Msiba mkubwa sio wa walevi wa mitaani huo
Alitaka kuchafua barabaraKwahiyo jamaa kampiga baba wa watu kwa sababu alitaka kuiba maiti au
Kwa jinsi huyo mlinzi wa Escort alivyo perform huo msafara naamini Kabisa huyo hakuingia kwenye jeshi Wala Escort kwa ki memo Cha kuwa naomba mwanangu aajiriwe jeshi na mumuweke kitengo cha Escort kwenye posho za safari na yeye awe anapata posho huyo kaiva kijeshi kajibeba mwenyewe kafika hapo kwa performance tu sio kimemo.Ngumi kapiga mtoto ajiriwa kwa kimemo na kuwekwa msafara wa Escort uwezo huo Hana.Ndio wajue kuheshimu taratibu. Hao ni makomandoo wanakuzima kweli.