Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Kadri Umaskini unavyoongezeka nchini na Imani Hiyo inazidi kukuta

Kule Zanzibar watu walikuwa wanatoka bara wanaenda Pemba kuchota mchanga kwenye kaburi la Maalim Seif

Kinondoni Makaburini watu wanaenda kufagia kaburi la Kanumba

Huko Chato watu wanamiminika kila iitwapo leo Kaburini kwa Shujaa Magufuli

Hivyo vijana kutamani kuligusa Jeneza la Lowassa ni kutafuta Baraka na si vinginevyo, wavumiliwe

Mfungapo Kwaresma Msiwe kama Wanafiki Wenye Nyuso za Kukunjamana 😂
 
Kwahiyo huyo mlinzi alikuwa anahofia huyo jamaa anaweza kumdhuru kwa kumjeruhi au hata kumuua maiti! Hayo majamaa yanakuaga majinga sana hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee ngumu nzito sana ile jamaa kalala Chali maana hakutarajia,
Unabaki unajiuliza kulikua na ulazima gani
 
Kapigwa kitu kinaitwa "clothesline from hell" kama ya JBL wrestler wa zamani wa WWE...

wwe-clothesline.gif

Aisee kweli usiamini kiurahisi maneno ya mswahili.

Hapo juu tumeona kabisa asiehusika na msiba kapigwa ngumi ya uso wewe unasema kakumbwa na unatuwekea 'style' yenyewe iliyotumika, heeei tofauti kabisa 😀

Je, kusingekuwa na videa mzee si ungekuja kutuambia kapigwa Teke la korodani kabisa?
Hufai kwa matumizi ya kutoa taarifa.
 
...... hata jana pale Karimjee nilimuona askari mmoja na bunduki tena akitembea kwa madaha akilinda gari iliyobeba maiti wakati ikiondoka.
Wabongo noma😀😀😀 wanaweza kuiba maiti wakasepa nayo🤣

Hayo ndo wanayofundishwa kwenye vyuo vya usalama
 
Shika adabu yako uwe na heshima.
Kama huna cha kukomenti kaa kimya
Heshima gani bwana hilo limzoga la FISADI LOWASA wakalitupe huko wasituchoshe nalo.

We ulisikia wapi Limzoga la FISADI linalindwa na mabunduki?

Hapo palitakiwa pawepo kamati ya watu wa kawaida tu wenye uniform maalumu bila mabunduki wakalizike hilo limzoga kwa nidhamu.

Kulinda limzoga kwa mabunduki na mangumi ni upunguani na inathibitisha ni kwa namna gani hawa maaskari ni MADIVISHENI FOO.
 
Back
Top Bottom