Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sawa sawq left hookInaitwa hook siyo jebu [emoji3], ina undugu na upper cut ila yenyewe inatokea pembeni...left hook!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa sawq left hookInaitwa hook siyo jebu [emoji3], ina undugu na upper cut ila yenyewe inatokea pembeni...left hook!
AiseeeKipindi cha jiwe msafara wake ilikuwa mara ya mwisho kupita geita, sasa zile escorts kabla yeye hajapita ilipita cruiser v8 ya wanajeshi ikamfata boda alikuwa anaendesha pembeni ya barabara ikampa kitu, kisha wakashuka kumtizama amesharest in peace walichofanya wakamwita polisi trafic alikuwa pembeni wakamwambia ita gari uondoe huu mzoga, kisha wao wakatoa kipande cha bumper ya mbele kilikuwa kimekatika wakakitupa pembeni ya barabara, kisha hao wakasepa
Lowasa ndy ashaondokaKama ni Mwanga au mlevi au unachanganya vyote viwili kaa mbali na jeneza la Lowasa
Hiyo Escort wamekamilika hayo maeneo
Nasikia jamaa kakata moto moja kwa mojaAlidhani anaenda iba maiti
Kwani Wewe utaishi milele?Lowasa ndy ashaondoka
Bye bye mzee
Ova
Inauma sana,kulikuwa na haja gani ya kumpiga? Je sheria inasemaje,anaweza kumshitaki kwa kumshambulia? Au wao walinda amani wana certificate ya kutushambulia raia?
Ndo mana wanachomwa visu, Sasa angekutana na mtu aliye pinda hafu nae akaenda kujibu mashambulizi kwa Kasi ya jet.Ile ngumi ipewe tuzo kama ngumi ya mwaka 2024
.kama kweli tuko makini huyu jamaa lazima achukuliwe hatua za kisheria kwa sababu kulikuwa hakuna sababu yoyote ya yule mlinzi kumshambulia yule muombolezaji mimi niko tayari hata kuchangia gharama za kesi.Kumbe tuwaachie muwe mnazikana wenyewe tuh maana mmetuona viherehere. Watanzania wote Arusha na monduli kwa ujumla jiepushane na msiba wa Lowassa msije mkapigwa ngumi za uso au risasi.
Waachieni kina Nape na Makonda hao ndio waliompenda.
Mwananchi
Lazima kwa konde lile la mtoa rohoNasikia jamaa kakata moto moja kwa moja
Kesi bongo,we changa tu.kama kweli tuko makini huyu jamaa lazima achukuliwe hatua za kisheria kwa sababu kulikuwa hakuna sababu yoyote ya yule mlinzi kumshambulia yule muombolezaji mimi niko tayari hata kuchangia gharama za kesi.