Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Kuna walinzi wengine sijui wanakua ni vichaa wamepewa kazi ya ulinzi sasa kulikua na haja gani ya kumpiga ngumi Kali kiasi hicho kwanini usimsukume kidogo tu pembeni daah mtu ha silaha unampiga kiasi hicho daah
Kwani mlinzi katumia silaha?
Watu lazima wajifunze itifaki ya misiba ya kitaifa. Anakwenda kulizuia gari ili iweje? Wafe na Lowassa?
 
sasa hapo kulikuwa na haja gani serikali kuwaambia wananchi wajitokeze barabarani wamuage kiongozi wao
 
Mkuu nilijilaumu sana kutochukua video, ilinishangaza wanavyohubiri kuhusu wanyonge, na walichomfanya huyo boda nikabaki nasikitika yaani bila katiba mpya hakuna rangi tutaacha kuona
Pole mkuu na hii itakuwa trauma kwako kwa maisha yako yote, jaribu kupata counseling if possible mkuu
 
Back
Top Bottom