Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Raia muombolezaji apigwa ngumi na mlinzi wa msafara wa Lowassa

Nikawaza kwahiyo mlinzi alihofia kudhuriwa afya ya maiti? Au raia angedhuru gari?
 
Huzuni lakini ni jambo la kuchekesha, kwani mlinzi alikuwa na tatizo gani? Ulevi?
Ndio wa kuwa askari, madaraka, wa kulinda raia na viongozi wake!
Traffic barabarani tunaipata fresh, ukienda kituo cha polisi UTAJUTA, ukienda mahakamani balaa, ukikutana na askari wa halmashauri imekula kwako, ukikutana na wale "UNANIJUWA MIMI NI NANI" minyanyaso ya kufa mtu, raia sijuwi ukimbilie wapi?!
 
Huyo aliyepigwa nimemfikiria mara mbili mbili ,akirudi nyumbani kwake anaenda kusemaje kwa mke na watoto wake?Hakupaswa kupigwa vile,angesukumwa hata pembeni.Mazoezi ni muhimu
 
Hawa vijana wetu tunaochukua wa Div 4 ya mwisho wanatupa shida sana. Imagine Taasisi nzima inaonekana hamnazo kisa mtu mmoja kama huyu. Pole sana kwa mwathirika waa tukio hili.
Halafu mlinzi gani asiyevalishwa vazi maalumu hao ni wale wale watoa uhai za watu.
 
Mimi sio chizi kama wewe. Niliuliza kwa sababu mwanzo hakukuwa na video
Kama haikuwepo iweje chizi niliyeanza kukomenti niiiona na wote walioanza kutoa maoni kabla yako waliwezaje kuiona! Na baada ya kuiona kwanini haukuifuta komenti yako! Jifunze kukubali kosa, ifute komenti yako.
 
Kama haikuwepo iweje chizi niliyeanza kukomenti niiiona na wote walioanza kutoa maoni kabla yako waliwezaje kuiona! Na baada ya kuiona kwanini haukuifuta komenti yako! Jifunze kukubali kosa, ifute komenti yako.
Sifa kuu ya chizi ni kubishania kitu kisicho na tija. Muda huu ungekuwa hapa pembeni yangu nakukojoza ingefaa zaidi kuliko hiki unachokazia fuvu. Nikifuta hiyo comment kuna pesa unaingiza? Hizo threads zimeungwa, niliyokoment mimi haikuwa na video ndio maana wenye utimamu wameniwekea video wakala kona, ajabu wewe umekuja kukaza magego hapa
 
Back
Top Bottom