Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Wanafikiri eti wanatawala bila dhuluma wakati wao ndio dhulumati namba moja. Utawala mwingine ukiingia huyu Hamduni naye ashtakiwe kwa kushikilia watu kinyume na sheria.Kumshikilia mtu zaidi ya siku 5 bila kumpeleka mahakamani sio tu ni uonevu bali ni kinyume cha sheria.
Charge him or release him immidietly
Hao ndio watoto wa magufuli aliokuwa akiwapa kichwa wafanye wanavyotaka bila kuulizwa hoja tu kwamba walikuwa wakiwanyanyasa wapinzani halafu ati utasikia watu bado wanamsifu magufuli la kufanya tumshukuru mungu kwa kumuondosha mapema kabla ya nchi kuingia kwenye matatizo makubwa. Nasema tenaahsante mungu.Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali, kuwachukua kwa nguvu anapokutana nao kwenye klabu za usiku, na kuwapeleka hotelini kufanya nao ngono kwa lazima. Jumla ya wanawake 40 wamejitokeza kutoa ushahidi, limeripoti gazeti la Raia Mwema.
Kati ya wanawake hao wapo wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu katika mikoa ya Arusha na Kilimnjaro. Kati ya wanafunzi hao wawili wanadai kulawitiwa baada ya kutekwa na walinzi wa Sabaya walipokutana nae night club. Mmoja kati ya walinzi amekiri kuwapeleka wasichana hao kwa Sabaya lakini amekanusha tuhuma za ulawiti.
"Tuliagizwa kuwachukua lakini sikujua mahusiano yao na Mhe.Sabaya wala sikujua kama walikubaliana kukutana. Nakiri kuwapeleka kwake lakini kuhusu kulawiti siwezi kutoa ushahidi maana sikuwa naye ndani" mmoja wa walinzi wa Sabaya ameieleza timu maalumu (task force) inayochunguza suala hilo kwa kushirikiana na TAKUKURU.
Sabaya anadaiwa kufanya vitendo hivyo katika hoteli mbalimbali za kifahari jijini Arusha na amekuwa akiondoka bila kulipa. Baadhi ya hoteli zimekiri kumdai Sabaya baada ya kupata huduma mbalimbali ikiwemo malazi na chakula lakini amekua akindoka bila kulipa. CG Hotel wanamdai 8.7M, Grand Melia 14.8M, Marves Hotel 3.4M, na Massai Land 9M.
Sabaya ambaye yupo mahabusu tangu May 25 mwaka huu, anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote ikiwa ataonekana ana kesi ya kujibu.
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP Salum Hamduni jana alisema "Ni kweli tunamshikilia tangu jumanne ya wiki iliyopita kwa mahojiano ya tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya madaraka na rushwa. Akionekana ana kesi ya kujibu atafikishwa mahakamani"
Kumshikilia mtu zaidi ya siku 5 bila kumpeleka mahakamani sio tu ni uonevu bali ni kinyume cha sheria.
Charge him or release him immidietly
Utawala gani huo unataka wewe wa mama yako au vpWanafikiri eti wanatawala bila dhuluma wakati wao ndio dhulumati namba moja. Utawala mwingine ukiingia huyu Hamduni naye ashtakiwe kwa kushikilia watu kinyume na sheria.
Aliyewezeshwa na shetani mkuu!Sabaya ni shetani.
Mimi sio mwanasheria, ilakama anafanya ukatili wa kijinsia kingono, akiwa amelewa, sabaya atashinda mcha kweupe manake utetezi utakuja kuwa ni akili ya pombe sio akili yake, je akiwa katika akili ambayo haina pombe huwa anabaka na kufanya ukatili wa kijinsia?
Time always tells the truth! Swali jingine Dogo?Utawala gani huo unataka wewe wa mama yako au vp
Unamaanisha NandyNa yule msanii alietaka kutekwa nae hotel ya werueeru inayomilikiwa na Cuthbert swai ajitokeze
Why investigating the obvious?Moja kati ya tuhuma zinazomkabili aliyekua Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ni unyanyasaji wa kingono. Sabaya anadaiwa kulazimisha ngono wanawake mbalimbali...
Yani asante MunguHao ndio watoto wa magufuli aliokuwa akiwapa kichwa wafanye wanavyotaka bila kuulizwa hoja tu kwamba walikuwa wakiwanyanyasa wapinzani halafu ati utasikia watu bado wanamsifu magufuli la kufanya tumshukuru mungu kwa kumuondosha mapema kabla ya nchi kuingia kwenye matatizo makubwa. Nasema tenaahsante mungu.
ID nyingi zilizokuwa zinamtetea zilikuwa zake mwenyewe. Tangu alipokamatwa hazionekani hapa jf.Aliyewezeshwa na shetani mkuu!
Kweli hii nchi imefikia hadi kuwa na viongozi wa aina hiyo, halafu wana magenge yanayowashabikia watu kama hawa!
Spika Ndugai naye akamatwe aunganishwe, alishabikia mateso T Lisu na Mbowe Hadi kumvua ubunge na ubunge .Hivi mwendazake alikuwa anatumia vigezo gani kuteua hawa vichaa?
Mbona mama D halalamiki hili au kisa unduguCcm
Mbona mama D halalamiki hili au kisa unduguCcm