Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Mimi sio mwanasheria, ilakama anafanya ukatili wa kijinsia kingono, akiwa amelewa, sabaya atashinda mcha kweupe manake utetezi utakuja kuwa ni akili ya pombe sio akili yake, je akiwa katika akili ambayo haina pombe huwa anabaka na kufanya ukatili wa kijinsia?
Wewe ni ngumbaru. Ukiendesha gari umelewa polisi huwa hawakupi faini kisa sio akili zako?
 
Write your reply...Sabaya ni msabato, amesoma shule za wasabato, huo uhuni kautoa wapi?
 
Mimi sio mwanasheria, ilakama anafanya ukatili wa kijinsia kingono, akiwa amelewa, sabaya atashinda mcha kweupe manake utetezi utakuja kuwa ni akili ya pombe sio akili yake, je akiwa katika akili ambayo haina pombe huwa anabaka na kufanya ukatili wa kijinsia?
Sheria ya wapi inayosema ukifanya Maovu ukiwa umelewa unaachwa? Kua hujafanya kosa.
 
Hizi ni tuhuma tu jamani sasa mnataka Mama Rais Samia afanye nini amhukumu?
 
Ukitaka kumwua paka au mbwa kwanza unampa jina baya
 
Hivi inaruhusiwa kuandika Uzi usio na ushahidi ?
Weka chanzo acha UMBEYA
 
Ukiangalia warembo wengi,watoto misambwanda hiyooo,watoto mishep hatar
Arhhhh Acha awanyooshe tu 😂😂

Ova
 
Kama Jamaa alipiga mbupu wanawake 40, huyo aliyemuweka hapo atakuwa kapiga wangapi? aise kweli madaraka raha...
 
Je ni kwa nini habari za sabaya wanaopost negatively wengi ni wa mlengo wa chama flani cha kisiasa. Ingekuwa vyema kama tungeachia vyombo vya dola vifanye kazi yake. Kama mtu ana ushahidi aupeleke mahala husika. Sabaya bado ni mtanzania na kama mtuhumiwa ana haki zake kisheria.
Unamaanisha Raia Mwema ni gazeti la Chadema?

Hoja hata kama chungu ijadili tu, usiiogope na kuikimbia kwa style hiyo unayoleta.
 
Back
Top Bottom