Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Ngoja tuone bwashee detective!

Chanzo chako cha taarifa Tafadhali
OS.jpg
 
Hata mbowe ametuhumiwa tena bungeni kuomba rushwa ya ngono kwa wanawake wa chadema ili wapate viti maalum.

# fly to KIA baby
 
Hata hivyo ni tukio la kisiasa zaidi!
Rais Samia ni CCM na Sabaya ni CCM na kila alichokuwa anafanya ilikuwa ni kwa manufaa ya CCM.

Serikali iliyopo ni ya CCM.

Waswahili wanasema zimwi likujualo, halikuli likakumaliza.

Sasa hivi CHADEMA wanalichukulia hilo tukio kama vile Rais Samia anawasaidia kulipiza KISASI.

Ukishalifanya hilo tukio kuwa la kisiasa, linakosa nguvu.
 
Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya ( namba inaweza kuongezeka )

Inadaiwa kwamba Sabaya akishalewa kwenye Bar yoyote alikuwa anang'ang'ania mwanamke yeyote aliyemtaka na kuondoka naye kwenye Hotel yoyote na kumfanyia ukatili alioutaka huku akilindwa na Polisi na Mabaunsa wake .

Tutaendelea kuwaletea uhalifu wa huyu jamaa kwa kadri unavyotufikia bila kuedit chochote .

Endelea kututegea sikio .
𝙷𝚒𝚟𝚒 𝙱𝚊𝚋𝚞 𝚂𝚎𝚢𝚊 𝚊𝚕𝚒𝚔𝚞𝚠𝚊 𝚗𝚊 𝚔𝚎𝚜𝚒 𝚐𝚊𝚗𝚒 𝚟𝚒𝚕𝚎?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo ni tukio la kisiasa zaidi!

Kisiasa kivipi bwashee? Njoo Arusha usikilize mabaya yake,ushaambiwa jamaa alikuwa anawalawiti wanaume ,anawabaka mabinti na hata Mmiliki wa Hotel alisema Sabaya alitaka kwenda kumbaka Nandy na kuna hadi barua ya kuomba fedha kwa wafanyabiashara kumbe ni utapeli....Sasa hizo barua za kuomba fedha aliandikiwa na Mbowe? kwenda kulala hotel bure bila kulipa aliambiwa na mbowe?
 
Hata hivyo ni tukio la kisiasa zaidi!
Siasa za Sabaya zilikuwa mbaya sana. Siasa za bunduki karne ya 21 hazifai.

Tatizo kwenye siasa na dini watu wanaficha mengi.

Ni sawa na Mbowe kuanguka kwa ulevi wa pombe halafu akajificha nyuma ya siasa. Au kutaka kupora jengo la NHC alipotakiwa kurejesha akajificha nyuma ya siasa.

Ukitaka kuingiza siasa kwenye hilo tukio la Sabaya utataka CCM na wao wasimame nyuma ya Sabaya halafu ukatili wake usishughulikiwe.
 
Kwa dunia ya leo wanawake kutwa kuonesha makalio yao kwenye social media,unafikiri wanatafuta nini !!!😂

Ova
Ushindani umekua mkubwa sana........ wanaume nao wanayaonesha yao kwa speed ya 5G
 
Back
Top Bottom