Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Raia Mwema: Wanawake 40 wajitokeza TAKUKURU kutoa ushahidi wa unyanyasaji wa kingono na ubakaji wa Ole Sabaya

Ushindani umekua mkubwa sana........ wanaume nao wanayaonesha yao kwa speed ya 5G
Hapana...wanawake wamezidi
Sahv mwanamke mwenye kalio kubwa
Anajiamini kuliko mwenye profession yake
😂😂😂
7sabay kwa hilo simlaumu mimi mitego imekuwa mingi

Ova
 
Mimi sio mwanasheria, ilakama anafanya ukatili wa kijinsia kingono, akiwa amelewa, sabaya atashinda mcha kweupe manake utetezi utakuja kuwa ni akili ya pombe sio akili yake, je akiwa katika akili ambayo haina pombe huwa anabaka na kufanya ukatili wa kijinsia?

Taarifa kutoka Takukuru zinaonyesha kwamba mpaka muda huu Jumla ya Wanawake 40 wakiwemo wanafunzi wa vyuo na Sekondari wamejitokeza kutoa ushahidi wa namna walivyobakwa na kufanyiwa ukatili mwingine wa Kingono na Mtukufu Ole Sabaya ( namba inaweza kuongezeka )...
 
Je ni kwa nini habari za sabaya wanaopost negatively wengi ni wa mlengo wa chama flani cha kisiasa. Ingekuwa vyema kama tungeachia vyombo vya dola vifanye kazi yake. Kama mtu ana ushahidi aupeleke mahala husika. Sabaya bado ni mtanzania na kama mtuhumiwa ana haki zake kisheria.
 
Hahahah! Aache mjadala utandazwe mkekani [emoji3][emoji3][emoji3]
 
apo ndo ninapokumbuka wimbo wa mjomba mpoto ' anayelia sana msibani ana lake jambo zito "
 
Mimi sio mwanasheria, ilakama anafanya ukatili wa kijinsia kingono, akiwa amelewa, sabaya atashinda mcha kweupe manake utetezi utakuja kuwa ni akili ya pombe sio akili yake, je akiwa katika akili ambayo haina pombe huwa anabaka na kufanya ukatili wa kijinsia?
Kwahiyo ukimtwanga risasi mtu ukiwa umelewa huna kesi?
 
Mimi sio mwanasheria, ilakama anafanya ukatili wa kijinsia kingono, akiwa amelewa, sabaya atashinda mcha kweupe manake utetezi utakuja kuwa ni akili ya pombe sio akili yake, je akiwa katika akili ambayo haina pombe huwa anabaka na kufanya ukatili wa kijinsia?
Duuh kazi kweli kweli yani pombe ndio iwe excuse inayokubalika kisheria?
Kumbe humu tuna wajinga wengi sana.
 
Back
Top Bottom