Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wetu Mwl.JKN aliwahi kusema: 👇Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu:
View attachment 2675885
Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno?
"Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi."
Ushauri wa bure tunaelekea kubaya.
Hata tozo watu walimpigia kelele akifanya kichwa ngumu, leo kiko wapi?
Ubaya hili la DPW linaenda kuwa janga la vizazi na vizazi. Kwanini tunaviongozi wa ajabu namna hii?
Kama ndio anautumia huo mfano wa tozo unaotuumiza sisi akidhani tutanyama na hili la waarabu lipite anajidanganya.Hata tozo watu walimpigia kelele akifanya kichwa ngumu, leo kiko wapi?
Ubaya hili la DPW linaenda kuwa janga la vizazi na vizazi. Kwanini tunaviongozi wa ajabu namna hii?
Kama ndio anautumia huo mfano wa tozo unaotuumiza sisi akidhani tutanyama na hili la waarabu lipite anajidanganya.
Ni afadhali ya maumivu tunayoyapata sisi ambayo inawezekana kabisa vizazi vijavyo visiyapate, au hata sisi wenyewe tusiyapate pale itakapopatikana serikali itakayoongozwa na kiongozi anayejielewa, sio huyu wa kusubiri kuambiwa tu, asiyejua hata kuchanganya na zake.
Ndugu inabidi tutambue kua:-Yamesikika ya wasomi (nguli kwa mapoyoyo), chawa, wajinga na hata werevu:
View attachment 2675885
Kwani kuna haja ya kuliacha suala hili kuendelea mno?
"Labda kwa kusubiria dodo kwenye mnazi."
Ushauri wa bure tunaelekea kubaya.
Yamesimama kwako labdaMambo ni Kama yamesimama.
Dah wewe jamaa ni mweupe kichwani.. jitafakariNdugu inabidi tutambue kua:-
1. Wapo wanaopinga mkataba huu kwa sababu madili yao na wizi wao hapo bandarini utakomeshwa na hivyo hawatapata nafasi ya kutuibia tena.
2. Wapo wanaopinga kwa sababu hawana imani na matakwa ya mkataba huo ambao ni wachache sana.
Japo si mtaalam wa uchumi wala sheria lakini najiuliza, kama bandari itaingiza faida kubwa kwenye pato la taifa chini ya huo mkataba wa DPW kuliko ilivyo chini ya serikali, sambamba na kuondoa usumbufu mwingi ikiwemo mizigo kuchelewa kutoka, tatizo ni nini hata kama uwe wa milele?
Mfano wewe ukisimamia biashara yako unapata milion 200 kwa mwaka as maximum profiti akaja mtu umubinafisishie akulipe 1bilion kila mwaka, utakataa kweli? Tunataka nin?
We kilaza kaa mbali.Yamesimama kwako labda
Kilaza kivipi?We kilaza kaa mbali.
Acha kurukaruka jibu kwa hoja. Kama tutaingiza faida kubwa kuliko ilivyo sasa tatizo ni nini? Ukijibu itapendeza acha mihemko.Dah wewe jamaa ni mweupe kichwani.. jitafakari
Ndugu inabidi tutambue kua:-
1. Wapo wanaopinga mkataba huu kwa sababu madili yao na wizi wao hapo bandarini utakomeshwa na hivyo hawatapata nafasi ya kutuibia tena.
2. Wapo wanaopinga kwa sababu hawana imani na matakwa ya mkataba huo ambao ni wachache sana.
Japo si mtaalam wa uchumi wala sheria lakini najiuliza, kama bandari itaingiza faida kubwa kwenye pato la taifa chini ya huo mkataba wa DPW kuliko ilivyo chini ya serikali, sambamba na kuondoa usumbufu mwingi ikiwemo mizigo kuchelewa kutoka, tatizo ni nini hata kama uwe wa milele?
Mfano wewe ukisimamia biashara yako unapata milion 200 kwa mwaka as maximum profiti akaja mtu umubinafisishie akulipe 1bilion kila mwaka, utakataa kweli? Tunataka nin?
Kabisa mkuu, naomba mnieleweshe tatizo ni nini kwenye mkataba huo? Maana inadaiwa itatuingizia faida kubwa kuliko sasa.Paskali hata baada ya kumsikia mwalimu wako nguli ungali huna cha kumwambia huyu ndugu ambaye si mchumi Wala mwanasheria japo akachanganya na akili zake?
Sijui akili za wapi hizi. Safari bado ndefu mno.Ndugu inabidi tutambue kua:-