Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.
Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na watakao baki huko watahesabika kuwa ni Magaidi hivyo cha moto watakipata!!
Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.
Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na watakao baki huko watahesabika kuwa ni Magaidi hivyo cha moto watakipata!!
Mtego huo.Israel inataka iwachuje wa kupokea mabikra 72 kwanza.Hivi October 7 hamas walitoa angalizo? Mbona Israel kama anafanya utu sana
Kuna uwezekano mkubwa uko ndotoni unaota!!!!Hili sikubaliani nalo kabisa. Kuwaondoa watu kwenye ardhi yao ya asili na kuichukuwa kwa malengo ya kibiashara sitaunga mkono hili milele.
Hamas waongeze nguvu wapiganie ardhi yao, huu ni uhuni uliokithiri.
Unawafundisha ujingaujinga.Watakoyongwa hadi tuwaombee maji ya kunywa na pooh!Hili sikubaliani nalo kabisa. Kuwaondoa watu kwenye ardhi yao ya asili na kuichukuwa kwa malengo ya kibiashara sitaunga mkono hili milele.
Hamas waongeze nguvu wapiganie ardhi yao, huu ni uhuni uliokithiri.
Hujui wameuwa wanawake na watoto zaidi ya elfu ishirini wakiwa kwenye mahema ?Ila Wayahudi wastaarabu sana. Wanajali sana watu. Ingekuwa sisi tungejitoa tu mhanga hapo hapo hatujali wala nini.
Na ndiyo hapo kwenye taharifa Hamas nao wanatoroka piaHivi October 7 hamas walitoa angalizo? Mbona Israel kama anafanya utu sana
Kumbuka siyo wote HAMAS na sio wote waguasi wa HAMAS. Kuwaondoa wote wanakosewa haki yao ya kuishi bila huruma.Unawafundisha ujingaujinga.Watakoyongwa hadi tuwaombee maji ya kunywa na pooh!
NotedVita si kitu kizuri kabisa ila ukifikiria namna watu wanavyonyanyaswa na wanyonyaji weusi ni bora tufe wote tu
Wakiachwa ndipo Hamas wanapata kwa kujificha/human shields.Huo mtego ni mzuri.Ambaye hataki dhahma ataondoka kwa amani.Vichwa ngumu watajulikana.Kumbuka siyo wote HAMAS na sio wote waguasi wa HAMAS. Kuwaondoa wote wanakosewa haki yao ya kuishi bila huruma.
Hamas wapambane na idf na usa, wengine waachwe.
Ni kweli mfalme moja wa uajemi alitaka kuangamiza wayahudiPole zao haya yote yasiwangekuta kama hawangechinja watoto wa Wayahudi, nimewaambia mara nyingi kabla ujio wa dini yenu, hapo awali kulikua na miungu wengine waliojaribu kufuta Wayahudi kwenye ardhi yao ila wakashindwa akina Baal wa wafilisiti.
Daaah! Umenikumbusha October 7 hamas walivyowauwa watu zaidi ya mia tatu kwenye tamasha la mziki halafu wakaanza kupiga selfie zile maiti na kuburuza barabarani mtaani.π€
Doh!
Nimeandika na kufuta huku huzuni ikinishika moyo wangu kama binadamu
Najaribu kuvuta hisia maisha waliyonayo Wagaza picha hiyo hiyo ifanye kuwa ndio (mimi) wewe
Kibinadamu unaweza ukauliza maswali mengi sana kwa muumba kiasi cha kukufuru na kufanya dhambi
Maisha ya warabu wa Gaza yanatia simanzi na huruma nyingi
Mimi ni mfuasi wa Israel, na tena usiniambie kitu kuihusu Israel maanandilo shina la wokovu wetu, maana ni kweli Wokovu ulianza kwa Wayahudi kisha kwa mataifa yote
Ukiachilia mbali hayo,kama binadamu mwenye kufahamu mapito ya duniani, unapowatazama Gaza, ukaacha ushabiki, utajikuta ukitoa π kama binadamu
Ifike mahala, hata kama kuna makosa, basi kusamehe iwe kipaombele kwa Wayahudi
Jamani, piga picha sasa kwamba, ingelikuwa ni wewe na watoto wako!
Mungu Irehemu Gaza