Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

Kiukweli hawa watu wanateseka sana Allah awape subra na asiwanyime malipo ya mateso haya ya rabb.
 
Hata mimi sjasema wewe unionee huruma kujitambulisha kwangu kwamba ni mwisrael mweusi

Mimi sipo kwenye hayo kwa sasa, najaribu kuuvaa uhusika wa wao kuvamia Israel na kufanya unyama huo na hiki kinachoendelea sasa kwa hao watu wa Gaza

Kama msuluhishi ndio umepewa usimamie wewe, bila shaka utakiri maumivu ya pande zote mbili ndipo uanze kutafuta suluhu

Lakini tunapokuja kwa upande wa Mungu wetu mwenye huruma, unadhani haweki mizani sawa na kuona shida ya viumbe wake kuuwana?
Wewe kuwa mwisrael mweusi ina faida gani kama unakumbatia maovu??
 
Hili sikubaliani nalo kabisa. Kuwaondoa watu kwenye ardhi yao ya asili na kuichukuwa kwa malengo ya kibiashara sitaunga mkono hili milele.

Hamas waongeze nguvu wapiganie ardhi yao, huu ni uhuni uliokithiri.
Nenda kawasaidie mkuu
 
🤔

Doh!

Nimeandika na kufuta huku huzuni ikinishika moyo wangu kama binadamu

Najaribu kuvuta hisia maisha waliyonayo Wagaza picha hiyo hiyo ifanye kuwa ndio (mimi) wewe

Kibinadamu unaweza ukauliza maswali mengi sana kwa muumba kiasi cha kukufuru na kufanya dhambi

Maisha ya warabu wa Gaza yanatia simanzi na huruma nyingi

Mimi ni mfuasi wa Israel, na tena usiniambie kitu kuihusu Israel maanandilo shina la wokovu wetu, maana ni kweli Wokovu ulianza kwa Wayahudi kisha kwa mataifa yote

Ukiachilia mbali hayo,kama binadamu mwenye kufahamu mapito ya duniani, unapowatazama Gaza, ukaacha ushabiki, utajikuta ukitoa 😭 kama binadamu

Ifike mahala, hata kama kuna makosa, basi kusamehe iwe kipaombele kwa Wayahudi

Jamani, piga picha sasa kwamba, ingelikuwa ni wewe na watoto wako!

Mungu Irehemu Gaza
Mkuu, suppose ungekuwa ni baba yake yule kijana Joshua aliyeuwawa kinyama sana na hii mijitu! Uliyo nayo ni huruma ya kibinadamu inapokuwa ni kwa mwenzako na siyo kwako.
Nafikiri hata baba yake Joshua atakuwa amefurahi kwa kitendo cha juzi kuangamizwa gaidi mwandishi aliyekuwa akichukua picha za tukio la Oct 7.
 
Ndiyo maana nasema wewe ni mjinga na Mpumbavu sana!! Serikali ilitangaza rasmi hao vijana walikuwa kwenye chuo cha kilimo kipindi cha uvamizi wa hamas walikuwa huko lakini ulivyo mjinga na mpumbavu bado unang’ang’ana kuwa hao wayahudi weusi.

Watu wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo mnaoleta Upotoshaji mwingi sana kwenye Jukwaa hili sasa mimi nakuwekea ushahidi kuwa hawa walikuwa wanafunzi kwenye chuo cha kilimo huko Israel na ndicho kilichovamiwa

Najua unachekelea kwa sababu waliouwawa ni wakristo na Hamas waliwaua kwa sababu ya Ukristo wao wangekuwa waislamu Najua wangewateka na baadaye kuwarudisha. Hamas ni magaidi napendekeza wapigwe sana mpaka wachakae!!

View: https://x.com/dumisanitemsgen/status/1846722914533757399?s=61

View: https://x.com/simonateba/status/1736446192416944220?s=61

View: https://x.com/yaelbt/status/1786414747350380566?s=61

View: https://x.com/olilondontv/status/1819147125491749164?s=61

Hili tukio lilinifanya niwachukie sana hao waarabu
 
Hujui wameuwa wanawake na watoto zaidi ya elfu ishirini wakiwa kwenye mahema ?
Huku hawaruhusu maji, dawa na vyakula kuingia Gaza.
Tena hao ni wachache , najua hujui, ukitaka kukimaliza kizazi cha nyoka ua vitoto na kama nyoka jike anajulikana ua huyo, dume likizeeka halina uwezo wa tena .
Lakini vita yeyote inayopiga wa mjini FIBU wanaothirika ni wanawake , watoto na wazee. Naona hujui kabisa kuhusu vita, wala hujui asili ya " vita haina macho"
 
Wastaarabu?!?!?!?

You’re not serious mkuu
Wayahudi ni wastaarabu sana tena mno vita hii wangeimaliza kwa miei miwili tu huruma yao ndiyo mpaka leo magaidi wa Hamas wanaendelea kuwepo!!
 
I am damn serious. Jamaa wana moyo wa tofauti sana.
Amewafungia watu ndani ya Gaza hakuna chakula wala madawa kuingia, hakuna umeme wala maji ya kutosha
Kila siku anatwanga na kuua wapalestina kibao

Kuwaambia hamieni sehemu fulani ili upate kuwathibiti vizuri ndio ustaarabu?
 
Huo ni ustaarabu mkubwa sana!!! Fikiria wao Wapalestina walivyofanya Oct 07,2023 na walivyoua watu wasio na hatia 1,200 na kuteka wengine 251 walifanya unyama wa kutisha sana.
Hata hivyo waacheni wapalestina wavune walichopanda Oct 07,2023
 
Wayahudi ni wastaarabu sana tena mno vita hii wangeimaliza kwa miei miwili tu huruma yao ndiyo mpaka leo magaidi wa Hamas wanaendelea kuwepo!!
Wayahudi ni washenzi tu hawana wema wowote...... madam ungepata nafasi ya kuishi Gaza hata kabla ya Oct 7 ungewaelewa wanachopigania

Tatizo ni kwamba mna ichukulia hii issue as if ilianzia Oct 7

Watu wanaumia kweli kuna mateka kadhaa wa Israel pale Gaza
Unajua kuna mateka wangapi wa kipalestina kwenye magereza ya Israel?
Unajua Israel imeua wapalestina wangapi kabla ya Oct 7?

Mi sio muumini wa Violence.... siungi mkono kilichofanyika Oct 7
Lakini siungi mkono zaidi uonevu wa Israel dhidi ya Wapalestina
 
🤔

Doh!

Nimeandika na kufuta huku huzuni ikinishika moyo wangu kama binadamu

Najaribu kuvuta hisia maisha waliyonayo Wagaza picha hiyo hiyo ifanye kuwa ndio (mimi) wewe

Kibinadamu unaweza ukauliza maswali mengi sana kwa muumba kiasi cha kukufuru na kufanya dhambi

Maisha ya warabu wa Gaza yanatia simanzi na huruma nyingi

Mimi ni mfuasi wa Israel, na tena usiniambie kitu kuihusu Israel maanandilo shina la wokovu wetu, maana ni kweli Wokovu ulianza kwa Wayahudi kisha kwa mataifa yote

Ukiachilia mbali hayo,kama binadamu mwenye kufahamu mapito ya duniani, unapowatazama Gaza, ukaacha ushabiki, utajikuta ukitoa 😭 kama binadamu

Ifike mahala, hata kama kuna makosa, basi kusamehe iwe kipaombele kwa Wayahudi

Jamani, piga picha sasa kwamba, ingelikuwa ni wewe na watoto wako!

Mungu Irehemu Gaza
Oct 7 2023, Walikua wanashangilia Mitaani huku wakiimba allah wakbar na kugawa peremende, chokolate na biscuit wakijisifu kuchinja na kuteka wayahudi.
Hivi mmesahau zile video walizirecord huku wanapiga mateke na kukanyaga maiti za askari wa Israel pamoja na raia?
Na vijana wenzetu wawili wa Kitanzania wakauwawa kama vibaka?!
Nikikumbuka zile video za kuogofya naona bora dozi iendelee tu.
 
Ndiyo maana nasema wewe ni mjinga na Mpumbavu sana!! Serikali ilitangaza rasmi hao vijana walikuwa kwenye chuo cha kilimo kipindi cha uvamizi wa hamas walikuwa huko lakini ulivyo mjinga na mpumbavu bado unang’ang’ana kuwa hao wayahudi weusi.

Watu wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo mnaoleta Upotoshaji mwingi sana kwenye Jukwaa hili sasa mimi nakuwekea ushahidi kuwa hawa walikuwa wanafunzi kwenye chuo cha kilimo huko Israel na ndicho kilichovamiwa

Najua unachekelea kwa sababu waliouwawa ni wakristo na Hamas waliwaua kwa sababu ya Ukristo wao wangekuwa waislamu Najua wangewateka na baadaye kuwarudisha. Hamas ni magaidi napendekeza wapigwe sana mpaka wachakae!!

View: https://x.com/dumisanitemsgen/status/1846722914533757399?s=61

View: https://x.com/simonateba/status/1736446192416944220?s=61

View: https://x.com/yaelbt/status/1786414747350380566?s=61

View: https://x.com/olilondontv/status/1819147125491749164?s=61

Duuh! Waliwagombania kama mpira wa kona. Hawa watu hawafai kabisa
 
Hili sikubaliani nalo kabisa. Kuwaondoa watu kwenye ardhi yao ya asili
Hisroria ulipata zero? au una kaushetani kiaina cha upotoshaji? rudi shule kisha uleta habari za ukweli
na kuichukuwa kwa malengo ya kibiashara sitaunga mkono hili milele.

Hamas waongeze nguvu wapiganie ardhi yao, huu ni uhuni uliokithiri.
Ndio wanaongeza nguvu huku kikiwapata maana wamechoka wanawekwa kijinafasi kidogo.. kilichobakia.. Asili ya Waarabu ni Arabia Peninsula kasome vizuri Historia
 
Waya hudi ni washenzi tu hawana wema wowote...... madam ungepata nafasi ya kuishi Gaza hata kabla ya Oct 7 ungewaelewa wanachopigania
Tatizo ni kwamba mna ichukulia hii issue as if ilianzia Oct 7
Watu wanaumia kweli kuna mateka kadhaa wa Israel pale Gaza
Unajua kuna mateka wangapi wa kipalestina kwenye magereza ya Israel?
Unajua Israel imeua wapalestina wangapi kabla ya Oct 7?

Mi sio muumini wa Violence.... siungi mkono kilichofanyika Oct 7
Lakini siungi mkono zaidi uonevu wa Israel dhidi ya Wapalestina
Tatizo lako umekaririshwa ujinga na wewe ukakubali bila kufanya upembuzi yakinifu. Wewe unasema kupata nafasi ya kuishi Gaza wakati hao waarabu ni wabaguzi kupita kipimo huko Gaza huwezi kuona Mmatumbi kama mimi huwezi kuishi huko wanaweza kukuua mara moja. Unaowasema wewe ni Washenzi waafrika wako wengi tu nikiwemo mimi mwenyewe.
Waarabu si watu wazuri si kuanzia Oct 07 waarabu si wema miaka nenda rudi ni wauaji wakubwa kwa yeyote!!
Chukulia tu sasa hivi wanashikilia mateka watu wazima na wanashikilia maiti za watu waliokufa hawataki kuwaachia mpaka walipwe huyo kwako wewe unaona ni binadamu mwenye ubinadamu? Hawa ni nusu watu hawana tofauti na wanyama.

Unaongelea mateka wa kipaleatina huko Israel huo ni uongo Israel haina mateka ina wafungwa waliofungwa huko Israel kwa makosa mbalimbali ikiwemo wizi,ubakaji na Uuaji na Ugaidi kwa hiyo elewa huko kuna Wafungwa tena waliohukumiwa na sheria!!

Kwa ujinga wako unauliza israel imeua wangapi bila kujua Wapalestina wameua wayahudi wangapi!! Hata hivyo idadi si hoja sana hoja ni nani aliyeanza uchokozi. Mfano mzuri Wapaleatina walivamia Oct 07!2023 matokeo yake ndiyo tunayoyaona sasa hivyo huwezi kuilamu Israel kwa matendo ya Oct 072023 Magaidi sasa hivi wanavuna walichopanda.

Si kweli wewe si muumini wa violence kama unavyojinasibu wewe lakini vitendo au maneno yako yanaakisi ulivyo huwezi kuwaunga mkono hamas na kuilaumu sana Israel na kudai kuwa inawanyanyasa wapLestina na ukajiita wewe si muumini wa violence huna tofauti na magaidi wewe!!

Nikuulize swali wewe unadai wapLeatina wanaonewa na Israel kivipi?
 
Pole zao haya yote yasiwangekuta kama hawangechinja watoto wa Wayahudi, nimewaambia mara nyingi kabla ujio wa dini yenu, hapo awali kulikua na miungu wengine waliojaribu kufuta Wayahudi kwenye ardhi yao ila wakashindwa akina Baal wa wafilisiti.
Filisti (philistines) Palaestinians hawa watu wanawiana.

WaFilisti ni wahenga wa wapalestina.
Tangu kale hadi sasa tabia zao za vurugu hazijawahi kwisha wala kukoma.

Maeneo yaliyokaliwa na wafilisti kama Gaza na west bank ndiyo hayo hayo yanayokaliwa na wapalestina wa sasa.

Tangia maasi ya wayahudi kwa utawala wa Kirumi yaliyochukua muda wa miaka minne, mnamo mwaka 132-136 yakiongozwa na Simon Bhar Khoba, ndiyo yaliyobadilisha kabisa historia ya Israel ya Yudea na kuanza kuitwa Palaestina.

Wayahudi wakanyang'anywa Yerusalemu, wakauawa kwa maelfu na kukimbizwa uhamishoni.
 
Angalia vizuri historia wafilisti si Wapaleztina hawaunaowaita wewe Wapalestini ni waarabu kutokea Misri na Jordan.
 
Angalia vizuri historia wafilisti si Wapaleztina hawaunaowaita wewe Wapalestini ni waarabu kutokea Misri na Jordan.
Ni sawa kwa namna ulivyoeleza ni sahihi.
Kitu nilichokuja kusema kuwa hao watu wanawiana ni kwamba, uhamiaji huo wa waarabu kutoka Misri, jordani na mataifa mengine, ulihamasishwa na watawala wa Rumi kuja kukalia maeneo ya wafilisti wa kale yaani Gaza na West bank pamoja na Yudea ili kuwakomesha wayahudi walioonekana kuwa ni mwiba kwa utawala wa warumi.

Walivyofika kuanza kuishi maeneo hayo, wakachanganya tamaduni zao na wafilisti wenyeji, baadaye tamaduni za wafilist pamoja na lugha yao vikamezwa na waarabu wahamiaji.

Baada ya maasi ya Simon Bar Kokbha, ndiyo mtawala wa Rumi kwa malengo ya kuifuta Israel katika uso wa dunia, aliamua kulifuta jina la Yudea (Israel) na kuliita jina jipya 'Syria Paelestina'.

Mji wa Jerusalem uliokuwa umebakia magofu kutokana na vita, yakajengwa makazi ya Warumi na wenyeji wayahudi kuuawa, kuuzwa utumwani na kupigwa marufuku kukanyaga Jerusalem.

Na hapo ndiyo uone ni jinsi gani tangia mwaka 136CE migogoro ya wayahudi na wapalestina ilivyotengenezwa na kuanza.
 
Back
Top Bottom