Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.
Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na watakao baki huko watahesabika kuwa ni Magaidi hivyo cha moto watakipata!
View attachment 3336132
View attachment 3336132
View attachment 3336134View attachment 3336134View attachment 3336134
Sawa myahudi, wayahudi wenzio wamekusikia. Ila usisahau umauti upo tu hata ufanye nini utakufa tu.