Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

Hakuna kitu kama Taifa la Palestina!! Pia tambua Hamas ndiyo Gaza na Gaza ndiyo Hamas. Ili uishi lazima Uunge mkono Magaidi hao usipowaunga mkono unauwawa!!!!
Na PLO wanaishi wapi wao, Nimeona Mahmoud Abass ambaye ndiye rais wa Palestinian authority, akichagua mrithi wake wiki mbili zimepita. Hao PLO wao siyo Wapalestina? au wao hawaishi Gaza kabisa?
 
Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.

Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na watakao baki huko watahesabika kuwa ni Magaidi hivyo cha moto watakipata!

View attachment 3336132

View attachment 3336132

View attachment 3336134View attachment 3336134View attachment 3336134

Taabu wanaogopa kufa kama chadema Mwamba.

Huo mtiti ulihitaji washupavu wa ki Taleban au wa Houthi.
 
Na PLO wanaishi wapi wao, Nimeona Mahmoud Abass ambaye ndiye rais wa Palestinian authority, akichagua mrithi wake wiki mbili zimepita. Hao PLO wao siyo Wapalestina? au wao hawaishi Gaza kabisa?
Agost 15,2005.Israel lijiondoa Gaza na Judea & Samaria ambayo sasa hivi inaitwa West-Bank Palestine Authority PA ndiyo walikuwa wakitawala Gaza na West-Bank chini ya Yasser Arafat baadaye Mahamood Abbas baadaye magaidi wa Hamas wakajitengana west-Bank kutokana vurugu za uchaguzi tokea hapo Magaidi hao walibaki kutawala Gaza na Mahamood Abbas akabaki na west-Bank mpaka leo hii.
 
Kwa hiyo PA hawako Gaza kabisa? Mbona PLO nayo ilikuwa inatawala huko kabla ya HAMAS kufika na kuanza siasa zao?
 
Hamas hata kama ni wapalestina October 7 walikosea sana.

Walipaswa kupigania haki za wapalestina siyo kuvamia nchi jirani hata kama walihisi wangeweza.

Vita hulwta heshima lakini hapa wamewakosesha heshima Wapalestina wote duniani, maana!sasa watakuwa wakimbizi milele huko waendako.

Hawajakosea hata kidogo, hamas ni freedom fighters, wanapigania ardhi yao inayokaliwa kimabavu na makafiri yaliyolaaniwa.

So, acha kukaririshwa
 
Back
Top Bottom