Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

Wayahudi ni wastaarabu sana tena mno vita hii wangeimaliza kwa miei miwili tu huruma yao ndiyo mpaka leo magaidi wa Hamas wanaendelea kuwepo!!
Ndiomaana tunasema wafuasi wa dini mna roho za kishetani, huko gaza maelfu ya wanawake, watoto mpaka wazee huku wakinyimwa misaada jje huo ni ustaarabu?

Je kuna ustaarabu umetumika kujua yapi makazi sahihi ya kupiga? Na sheria za kimataifa ziko wazi, hairuhusiwi kufanya vita maeneo ya kiraia no matter what je israel kukiuka sheria za kimataifa huo ni ustaarabu?

Katika ustaarabu ni Urusi pekee ndio taifa ambalo linapambana na adui bila kuharibu maisha ya raia wasiohusika na hata inapotokea ajali raia kuguswa basi huwa kwa kiwango kidogo sana tofauti na kinachofanywa na hao Miungu wenu waisrael ambao wanaua maelfu ya watu wasio na hatia.

Mgogoro huu hauhusiani na dini zenu zilizowapumbaza akili ili kutetea upande fulani, bali ni mgogoro wa kisiasa uliobase ktk maslahi ya wachache ambao malengo yao ni kumega ardhi yote ya maeneo hayo na kutawala kibabe huku raia halisi wa maeneo hayo kuamishwa kibabe na wengine kuuliwa.

Enyi wafia dini(Christian& Muslims) jifunzeni kusoma nyakati na kusoma historia ya mambo kabla hamjakulupukia mambo yanayohitaji akili na sio hisia/chuki za kupandikizwa
 
Maamuzi ya kijinga ya Hamas yanawagharimu raia wasio na hatia
Sio kwamba hili lilikuwa planned na israel kutafuta upenyo wa wao kupata sababu ya kuimega gaza na kuwaondoa wakazi asili wa eneo hilo?.

Ukiwa mtu usiyeegemea mahaba ya dini na chuki za kipumbavu huwezi kusapoti ushenzi wa muisrael wala hamas, kiuhalisia kwa mtu timamu anaefuatilia habari za mashariki ya kati atajua kuwa kuna maigizo mengi sana yanaendelea, hao hamasi ni watu gani wawe kila eneo? Yaan uuwe raia maelfu kwa maelfu kwa kisingizio cha kutafuta gaidi? Je kuua hawa watoto, wazee na wanawake wasiohusika na vita sio ugaidi?

Dini zimewapumbaza mmerithishwa chuki zisizowahusu.

Someni historia nje ya dini zenu za mchongi muujur ukweli
 
Tako jana majeshi ya Israel yalikuwa yakitoa maelekezo kwa raia wa Gaza kutulia ndani ya majumba/Mahema yao huku wakisubiri maagizo mengine kutoka ngapi za juu za majeshi ya Israel.

Mchana wa leo hii Majeshi ya Israel yametoa amri raia wema waondoke maeneo hayo waelekee kaskazini mwa Gaza na watakao baki huko watahesabika kuwa ni Magaidi hivyo cha moto watakipata!

View attachment 3336132

View attachment 3336132

View attachment 3336134View attachment 3336134View attachment 3336134
Sinwari na ndugu yake Hania wameacha msiba mzito na gharika mbaya kwa watu wa Palestinian ila je wajuwa uovu ulianza muda sana na mwisho ule uovu ukaja kuwa zahima kubwa? Yes Sinwari na team yake walihakikisha kila mtu wa ghaza anakuwa chawa na anatii mamlaka kwa mtutu wa bunduki. Yes ukionekana unataka amani na Israel au kataa jambo baya kwa Israel basi adhabu yako ilokuwa kwanza kufinywa na kuchezea mkwaju wa tako mpaka unatepeta... ukitoka una jiona dume jike... wakikuchukia mpaka kaburi. Sinwari na wenzake waliwafanya kitu mbaya watu wa Gaza kulikuwa na kila aina ya dhuluma unachapiwa mke mbele yako au unaliwa tako mbele ya mkeo kiukweli haikuwa rahis wakati mwingine baba aliona baba au mtot aliona wazaz wengine walikufa mbele ya kamera. Ila mwisho ule uovu ukageuka kuwa kiama kwa Palestinian wote na ule msemo ukiona uovu ukauchekea basi lazima siku moja utakurudia. Leo Palestinian wamekufa kama kuku kwa mauwaji ya halaiki ya Israel 1000. Kiufupi kiama cha Israeli hakijawahi badilika na huu ndio ukweli unatisha hakuna dam ya mpalestina alie mwaga dam ya mu Israel itaachwa ishi. Wao na wajukuu zao lazima wafe kwa upanga na hii sio mimi ndio hukumu ya Israel pindi dam yao inamwagwa na sio mara ya kwanza kila alie mwaga dam amelipa na uzao wake jiulize Naz waliishia wapi na Kaburi la Adolf Hitler lipo wapi hapo ndipo utanielewa do not mess with Israel anymore 😑
 
Ndiomaana tunasema wafuasi wa dini mna roho za kishetani, huko gaza maelfu ya wanawake, watoto mpaka wazee huku wakinyimwa misaada jje huo ni ustaarabu?
Kwanza lazima mgogoro huu si wa kidini!! Toka mwanzo wa vita maelfu ya Maroli yaliyosheheni misaada yalikuwa yakiingia Gaza na ndicho kilichokuwa kinawafanya kivimba maana wanakula wanashiba viburi vinawajaa na ndiyo maa vita vimechukua muda mrefu,
Sisi Wamatumbi tuna msemo unaosema “Adui yako Muombee Njaa” sasa hawa Wayahudi mwanzoni hawakutaka kuutumia msemo huo wakatumia ustaarabu ambao duniani kotę haupo vita ya kumali za miezi misili sasa inaelekea mwaka wa pili.

Kuanzia mwezi wa tatu wayahudi wamegundua kuwa kumbe msemo wa Kimatumbi ni sahihi na ndiyo maana sasa hivi wanaufuata wamezuia misaada ya chakula kwenda huko. Lakini haimaniishi kuwa Gaza chakula hakipo kiko bado tele Lekwa sababu kuna maelfu ya maroli ya misaada yaliingia mwezi wa pili na wa tatu mwanzoni.
Je kuna ustaarabu umetumika kujua yapi makazi sahihi ya kupiga? Na sheria za kimataifa ziko wazi, hairuhusiwi kufanya vita maeneo ya kiraia no matter what je israel kukiuka sheria za kimataifa huo ni ustaarabu?
Nyumbani kwetu Kilwa Wamatumbi wana Msemo unaosema “Vita si lele-Mama” Kwanza kabla ya kuuliza maswali kama hayo lazima ujue hilo vitani si Mchezo mchezo wala hakuna siasa maisha ya watu yanapotea na yakipotea huwezi kuyarudisha hata ufanyeje. Vitani kosa moja tu umekwisha huna nafasi ya kusema tuanze tena.. Hakuna cha ustaarabu vitani usitaarabu vita ikiisha. Usitarajie kuna mtu atakuremba akuchagulie pa kukupiga.

Kwanza jiulize wao Oct 07,2023 walipovamia walitumia ustaarabu? Au ustaarabu anatakiwa autumie Israel tu?
Magaidi yalipovamia huko Israel yalitumia sheria za kimataifa gani kupiga maeneo ya kiraia na sehemu walikokuwa raia wanacheza mziki?
Na je Hamas walipovamia walipiga maeneo ya kijeshi tu na maeneo ya kiraia hawakuyashambulia?
Je magaidi wanapopigania maneneo ya raia wakiwa wamevaa/ wamejichanganya na raia je huo ni Ustaarabu na je wao wanafuata sheria za kimataifa au ni Israel tu ndiyo inatakiwa kufuata sheria hizo?
Katika ustaarabu ni Urusi pekee ndio taifa ambalo linapambana na adui bila kuharibu maisha ya raia wasiohusika na hata inapotokea ajali raia kuguswa basi huwa kwa kiwango kidogo sana tofauti na kinachofanywa na hao Miungu wenu waisrael ambao wanaua maelfu ya watu wasio na hatia.
Huna unalolijua yanayoendelea huko Ukraine 🇺🇦 Majeshi ya ki amigi ya Russia yameharibu karibu miundombinu yote ya kiraia kwenye maeneo mbalimbali vituo vya umeme na Mafuta vinashambuliwa kila leo kuna Mimi ilikuwepo ya Mariupol iliangamizwa kabisa hata Kiev ,Odessa majengo ya kiraia ameangamizwa kabisa raia na mali zao zimeangamizwa wewe tu hujui au unajifanya hujui maana maana haya kila siku yanatangazwa na vyombo vya habari.
Kitu kinachowasaidia sana Ukraine ni vile ving’ora vinapolia wanakimbilia sehemu salama na ndiyo maana madhara ni madogo kwa raia bila hivyo ving’ora walivyo pewa na wayahudi ungesikia idadi kubwa ya vifo kwa raia..

Nakushangaa sana unapoituhumu Israel kuwa inaua watu wasio na hatia kwa taarifa yako tu hakuna mtu aside na hatia huko Gaza maana wote Oct 07,2023 walivamia Israel na wakafanya unyama wa kila aina na mpaka sasa hivi wanahifadhi Mateka kwenye nyumba zao na maiti wanakaa nazo majumbani mwao na hawataki kuzirudisha zikazikwe na ndugu zao sijui Allah wenu aliwaagiza kuteka nyara mpaka maiti!!!
Mgogoro huu hauhusiani na dini zenu zilizowapumbaza akili ili kutetea upande fulani, bali ni mgogoro wa kisiasa uliobase ktk maslahi ya wachache ambao malengo yao ni kumega ardhi yote ya maeneo hayo na kutawala kibabe huku raia halisi wa maeneo hayo kuamishwa kibabe na wengine kuuliwa.
Soma historia vizuri ili ujue nani raia halisi wa maeneo hayo siyo kukaririshwa na Wafuga Midevu na Majini tu!!?
Enyi wafia dini(Christian& Muslims) jifunzeni kusoma nyakati na kusoma historia ya mambo kabla hamjakulupukia mambo yanayohitaji akili na sio hisia/chuki za kupandikizwa
Wewe mwenyewe una chuki za kupandikizwa!! Hujajifunza kusoma historia ya mambo.
 
Sio kwamba hili lilikuwa planned na israel kutafuta upenyo wa wao kupata sababu ya kuimega gaza na kuwaondoa wakazi asili wa eneo hilo?.

Ukiwa mtu usiyeegemea mahaba ya dini na chuki za kipumbavu huwezi kusapoti ushenzi wa muisrael wala hamas, kiuhalisia kwa mtu timamu anaefuatilia habari za mashariki ya kati atajua kuwa kuna maigizo mengi sana yanaendelea, hao hamasi ni watu gani wawe kila eneo? Yaan uuwe raia maelfu kwa maelfu kwa kisingizio cha kutafuta gaidi? Je kuua hawa watoto, wazee na wanawake wasiohusika na vita sio ugaidi?

Dini zimewapumbaza mmerithishwa chuki zisizowahusu.

Someni historia nje ya dini zenu za mchongi muujur ukweli

Sio kwamba hili lilikuwa planned na israel kutafuta upenyo wa wao kupata sababu ya kuimega gaza na kuwaondoa wakazi asili wa eneo hilo?.
Hata kama ni Planned ni nani aliyetekeleza unyama huo wa kutisha hapo Oct 07,2023?
Kwa hiyo unaua watu harafu unaleta kisingizio cha kusema ni “ Planned”
Ukiwa mtu usiyeegemea mahaba ya dini na chuki za kipumbavu huwezi kusapoti ushenzi wa muisrael wala hamas, kiuhalisia kwa mtu timamu anaefuatilia habari za mashariki ya kati atajua kuwa kuna maigizo mengi sana yanaendelea, hao hamasi ni watu gani wawe kila eneo? Yaan uuwe raia maelfu kwa maelfu kwa kisingizio cha kutafuta gaidi? Je kuua hawa watoto, wazee na wanawake wasiohusika na vita sio ugaidi?
Wewe unajitoa ufahamu kwa kujibu liza maswali ya kijinga kiasi hicho!!
Je wajua magaidi daima wanawatumia binadamu kama Kinga ( Human-Shield )? Kama unalijua hilo Mbona Unahangaika sana kujifichaficha sana ili watu wasijue wewe unawaunga mkono magaidi?
Na ulivyo mjinga na mpumbavu hata hujui magaidi hao walifanya nini Oct 07,2023 hata kama unajua unaona waliouwawa ni sawa na kuku tu lakini Israel walipoanza kujibu mapigo ndipo umezinduka na kuwaona wao ni washenzi, wakati wanauwawa wayahudi ulikuwa unachekelea sana nami nakushauri tu uendelee kuchekelea vivyo hivyo wakati kisasi kinalipwa!!!
Dini zimewapumbaza mmerithishwa chuki zisizowahusu.

Someni historia nje ya dini zenu za mchongi muujur ukweli
Tulitarajia wewe mpagani na upagani wako utakuwa unajua mambo kumbe bure kabisa hujui lolote pamoja na kujidai kote kuwa umesoma histaria lakini umeonyesha wewe na upagani wako ni ZERO kabisa!!
 
Ndiyo maana nasema wewe ni mjinga na Mpumbavu sana!! Serikali ilitangaza rasmi hao vijana walikuwa kwenye chuo cha kilimo kipindi cha uvamizi wa hamas walikuwa huko lakini ulivyo mjinga na mpumbavu bado unang’ang’ana kuwa hao wayahudi weusi.

Watu wajinga na wapumbavu kama wewe ndiyo mnaoleta Upotoshaji mwingi sana kwenye Jukwaa hili sasa mimi nakuwekea ushahidi kuwa hawa walikuwa wanafunzi kwenye chuo cha kilimo huko Israel na ndicho kilichovamiwa

Najua unachekelea kwa sababu waliouwawa ni wakristo na Hamas waliwaua kwa sababu ya Ukristo wao wangekuwa waislamu Najua wangewateka na baadaye kuwarudisha. Hamas ni magaidi napendekeza wapigwe sana mpaka wachakae!!


View: https://x.com/dumisanitemsgen/status/1846722914533757399?s=61

View: https://x.com/simonateba/status/1736446192416944220?s=61

View: https://x.com/yaelbt/status/1786414747350380566?s=61

View: https://x.com/olilondontv/status/1819147125491749164?s=61

Kama walisapoti magaidi/makafiri wenzao kwanini wasiuawe! Kuuawa maelfu ya watoto, wamama na wazee huko gaza haikuumi ila umeumia kuuawa kwa makafiri wawili tu mkuu, tena hakuna ukweli wowote ule!! Na hamas mpaka wakuuwe basi tambuq ulikua ukishirikiana na makafiri.
 
Hata kama ni Planned ni nani aliyetekeleza unyama huo wa kutisha hapo Oct 07,2023?
Kwa hiyo unaua watu harafu unaleta kisingizio cha kusema ni “ Planned”

Unakumbuka ya oct tu, ila unajitoa ufahamu ya kabla ya hapo unyama waliofanyiwa ndugu zetu waislamu, jahannam inawasubiri mashetani hao waliolaaniwa.
 
Hujui wameuwa wanawake na watoto zaidi ya elfu ishirini wakiwa kwenye mahema ?
Huku hawaruhusu maji, dawa na vyakula kuingia Gaza.
Waliyataka wenyewe .....walikuwa na utulivu wao wakiishi hivyo hivyo ...........ila kihere here chao cha kuwashwa pa kunyea ndio kilicho waponza mpaka wakaua na watanzania bila sababu..............WAFE TU WAMEYATAKA WENYEWE
 
Kama walisapoti magaidi/makafiri wenzao kwanini wasiuawe! Kuuawa maelfu ya watoto, wamama na wazee huko gaza haikuumi ila umeumia kuuawa kwa makafiri wawili tu mkuu, tena hakuna ukweli wowote ule!! Na hamas mpaka wakuuwe basi tambuq ulikua ukishirikiana na makafiri.
Kama unaunga mkono Watanzania waliouwawa huko Gaza basi endelea kuunga mkono kinachoendelea huko Gaza na uache kabisa kulalamika maana kilichotendeka Oct 07,2023 na kinachoendelea sasa hivi ni kilekile!!!
 
Ichi itwayo Israel inaenda kufutika son Iran Wazungu wanawaogopa unategemea nn apo !!!!! Walikuja na Meli wataondoka na Meli.. muwe wapole kondooo waliopotea!!!
Hebu rudia taratibu kusoma ulichoandika halafu utafsiri ulikusudia kueleza kitu gani!
 
Hata mimi sjasema wewe unionee huruma kujitambulisha kwangu kwamba ni mwisrael mweusi

Mimi sipo kwenye hayo kwa sasa, najaribu kuuvaa uhusika wa wao kuvamia Israel na kufanya unyama huo na hiki kinachoendelea sasa kwa hao watu wa Gaza

Kama msuluhishi ndio umepewa usimamie wewe, bila shaka utakiri maumivu ya pande zote mbili ndipo uanze kutafuta suluhu

Lakini tunapokuja kwa upande wa Mungu wetu mwenye huruma, unadhani haweki mizani sawa na kuona shida ya viumbe wake kuuwana?
Usuluhishi mara nyingine si kuweka mizani sawa tu.Kuna kipindi mmoja kati ya wanaosigana anatakiwa aumie,apoteze,ashuke na kujishusha au awe dhalili ili kupata muafaka.Kumbuka:Msuluhishi anatakiwa awatangulie hatua nyingi mbele hao wanaohasimiana kiakili na maono na awe na majibu maridhawa kila hatua.
 
Mawazo haya, shida sana.

Unawaza kuangamiza wenzio walioletwa na Mungu duniani kama wewe ulivyoletwa.
 
Hili sikubaliani nalo kabisa. Kuwaondoa watu kwenye ardhi yao ya asili na kuichukuwa kwa malengo ya kibiashara sitaunga mkono hili milele.

Hamas waongeze nguvu wapiganie ardhi yao, huu ni uhuni uliokithiri.
Oct 8 tulishauri tukemee vitendo vya Hamas ila baadhi ya wapalestina wakawakumbatia hao Hamas , leo hii Hamas ambao wengi s wapalestina wanasababisha wapalestina wanateseka
 
Back
Top Bottom