Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
🤔
Doh!
Nimeandika na kufuta huku huzuni ikinishika moyo wangu kama binadamu
Najaribu kuvuta hisia maisha waliyonayo Wagaza picha hiyo hiyo ifanye kuwa ndio (mimi) wewe
Kibinadamu unaweza ukauliza maswali mengi sana kwa muumba kiasi cha kukufuru na kufanya dhambi
Maisha ya warabu wa Gaza yanatia simanzi na huruma nyingi
Mimi ni mfuasi wa Israel, na tena usiniambie kitu kuihusu Israel maanandilo shina la wokovu wetu, maana ni kweli Wokovu ulianza kwa Wayahudi kisha kwa mataifa yote
Ukiachilia mbali hayo,kama binadamu mwenye kufahamu mapito ya duniani, unapowatazama Gaza, ukaacha ushabiki, utajikuta ukitoa 😭 kama binadamu
Ifike mahala, hata kama kuna makosa, basi kusamehe iwe kipaombele kwa Wayahudi
Jamani, piga picha sasa kwamba, ingelikuwa ni wewe na watoto wako!
Mungu Irehemu Gaza
Bwege kweli wewe mfuasi wa Israel how? Unaletea ujinga tu hapa. Watu hatuna ufuasi tunaangalia haki. Wao walianza wacha wamalizwe mbwa kabisa hao. Waliua na kuteka watu ambao hawana hatia. Si wanajeshi. Watoto , wanawake na wazee. Sasa wacha wasome namba. Unajidai eti wewe mfuasi wa Israel. Umeulizwa? Hata ungekuwa mfuasi wa maarabau au tu mayahudi. Watu wanapewa haki yao.