Raia wa Gaza sasa wanafunga virago vyao kupisha Operation ya kijeshi kutoka majeshi ya Israel

Hakuna kitu kama Taifa la Palestina!! Pia tambua Hamas ndiyo Gaza na Gaza ndiyo Hamas. Ili uishi lazima Uunge mkono Magaidi hao usipowaunga mkono unauwawa!!!!
Na PLO wanaishi wapi wao, Nimeona Mahmoud Abass ambaye ndiye rais wa Palestinian authority, akichagua mrithi wake wiki mbili zimepita. Hao PLO wao siyo Wapalestina? au wao hawaishi Gaza kabisa?
 

Taabu wanaogopa kufa kama chadema Mwamba.

Huo mtiti ulihitaji washupavu wa ki Taleban au wa Houthi.
 
Na PLO wanaishi wapi wao, Nimeona Mahmoud Abass ambaye ndiye rais wa Palestinian authority, akichagua mrithi wake wiki mbili zimepita. Hao PLO wao siyo Wapalestina? au wao hawaishi Gaza kabisa?
Agost 15,2005.Israel lijiondoa Gaza na Judea & Samaria ambayo sasa hivi inaitwa West-Bank Palestine Authority PA ndiyo walikuwa wakitawala Gaza na West-Bank chini ya Yasser Arafat baadaye Mahamood Abbas baadaye magaidi wa Hamas wakajitengana west-Bank kutokana vurugu za uchaguzi tokea hapo Magaidi hao walibaki kutawala Gaza na Mahamood Abbas akabaki na west-Bank mpaka leo hii.
 
Kwa hiyo PA hawako Gaza kabisa? Mbona PLO nayo ilikuwa inatawala huko kabla ya HAMAS kufika na kuanza siasa zao?
 

Hawajakosea hata kidogo, hamas ni freedom fighters, wanapigania ardhi yao inayokaliwa kimabavu na makafiri yaliyolaaniwa.

So, acha kukaririshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…