ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,704
- 1,694
Inategemea sheria inasemaje. Kufoji cheti cha ndoa kwa nia ya kujipatia visa ni kosa unaweza kuamuliwa kurudishwaq deportation), kushitakjiwa na ukipatikana na hatia utafungwa na ukimaliza kifungo utakuwa deported.Sijaelewa mtalii akifanya uhalifu kama kufoji cheti cha ndoa anarudishwa nchini kwake na sio kushitakiwa?