jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Daah..jamaa alikia sexul maniac..yani tamaa yake ya ngono ilipitiliza viwango.Siku moja mtume wa majini na watu wasio itafakari dini yao vizuri alimtembelea mtoto wake wa kufikia Zayd.
Kumbe huyo mtoto wake alikuwa ametoka kidogo.
Mkewe Zayd aitwaye Zaynab Bint Jahsh {kisu kweli kweli}
Alidhani anaye bisha hodi ni mumewe Zayd.
Basi akavaa kanga moja tu na kuja kumlaki mumewe, alipotoka kwa bahati mbaya kaupepo kaliipuliza ile kanga nyepesi paja likawa wazi kidogo tu.
Zaynab alipomwona mtume badala ya mumewe alijitahidi kujisitiri lakini macho ya mtume yalisha ona paja la Zyanab.
Bila soni mtume akaanza kumtongoza. Zyanab alibaki kimya tu. mtume alipoona hajibiwi akaondoka ameghabika.
Mumewe Zayd aliporudi Zaynab akamweleza kila kitu.
Kwakuwa mtume alikuwa kila akitamani kitu lazima apewe kama alivyo pewa mtoto mchanga Aisha baada ya kumtamani.
Kitu kingine mtume alikuwa anaogopwa sana kwa tabia yake ya kuchinja watu wanao mpinga.
Basi baada ya kuambiwa na mkewe Zayd akaenda kwa mtume na kumwambia kama anamtaka mkewe Zynab basi yeye atampa talaka na amwoe yeye.
Mtume kwanza akajifanya kujifaragua na kukataa lile wazo la mtoto wake wa kufikia.
Ghafla Aya ikashushwa na Allah, usiogope mtume ni ruksa kumchukua mke wa mtoto wako wa kufikia.
Basi kurudi nyumbani Zayd akampa talaka mkewe na bila kuchelewa Muhammadi akamchukua na kumfanya mkewe kwa ndoa ya mkeka.
(Hali ndio ilikuwa hivyo Brother)
Halafu wanadiriki kumwita mtume wa Mungu mwumba wa Mbingu na Nchi)
Waache wafu wazike wafu wao.
#MaendeleoHayanaChama