ksny JF-Expert Member Joined Mar 30, 2016 Posts 1,704 Reaction score 1,694 Apr 22, 2023 #161 Tape measure said: Sijaelewa mtalii akifanya uhalifu kama kufoji cheti cha ndoa anarudishwa nchini kwake na sio kushitakiwa? Click to expand... Inategemea sheria inasemaje. Kufoji cheti cha ndoa kwa nia ya kujipatia visa ni kosa unaweza kuamuliwa kurudishwaq deportation), kushitakjiwa na ukipatikana na hatia utafungwa na ukimaliza kifungo utakuwa deported.
Tape measure said: Sijaelewa mtalii akifanya uhalifu kama kufoji cheti cha ndoa anarudishwa nchini kwake na sio kushitakiwa? Click to expand... Inategemea sheria inasemaje. Kufoji cheti cha ndoa kwa nia ya kujipatia visa ni kosa unaweza kuamuliwa kurudishwaq deportation), kushitakjiwa na ukipatikana na hatia utafungwa na ukimaliza kifungo utakuwa deported.
ksny JF-Expert Member Joined Mar 30, 2016 Posts 1,704 Reaction score 1,694 Apr 22, 2023 #162 Fusebox said: wazungu/wakiristo wanao tengeneza misiraha/mabomu wanatengeza kwaajili gani wee pimbi?. mabomu kazi yake nini? kuimbia kwaya kanisani au? bundukije? wee ni pimbi. Click to expand... Dini zote ni za Allah. Hakuna Allah wa Wakristu, Wasio Wakristu wala Waislaam. Allah ni wa wote. Allah ni neno la kiarabu maana yake Mungu.
Fusebox said: wazungu/wakiristo wanao tengeneza misiraha/mabomu wanatengeza kwaajili gani wee pimbi?. mabomu kazi yake nini? kuimbia kwaya kanisani au? bundukije? wee ni pimbi. Click to expand... Dini zote ni za Allah. Hakuna Allah wa Wakristu, Wasio Wakristu wala Waislaam. Allah ni wa wote. Allah ni neno la kiarabu maana yake Mungu.