Sasa kama police walikataa kumtoa mtuhumiwa kwa jeshi,si hao wanajeshi wangelipua kituo chote ili wamchukuwe mtuhumiwa wao!? Naona sasa tunaishi bila ya utawala wa sheria!!Police walizingua walikataa kumkabidhi muuaji kwa wale maninja a.k.a MPs
Somo la haki jinai naliona bado sana kwa watanzania wengi,ndiyo maana raia wengine wanailaumu police kwa nini haikumtoa mtuhumiwa kwa jeshi!!Kaka kazi ya jeshi la polisi ni kulinda usalama wa raia na mali zao na kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda mipaka ya Nchi. Jeshi halina mamlaka ya kuingilia kazi ya polisi. Kwani raia wana mahakamani zao na jeshi wana mahakama zao. Mtuhumiwa ni raia lazima akamatwe apelekwe polisi hatua nyingine zifuate.
Kwahyo umeona bora kumtukania na ulanzi wetu??Wewe naye sijui umekunywa ulanzi asubuhi yote hii
Wamkabidhi kwa jeshi kwa sheria ipi?
Hilo ni jukumu la polisi hao wajeda washenzi wasiokuwa na akili ilitakiwa watulie huko kambini kwao
Wwe kweli akili zako hazina akili, kwa hiyo hata baba yako akila kichapo na wanajeshi ni sahihi kisa tu kuna msela mmoja wa kuitwa kato wala humjui eti kamgusa mwanajeshi!!? Kwanza wwe una miaka mingapi hapa Duniani toka uje!!???Jihadhari ni mwiko Raia kwa namna yoyote ile kumgusa pot jua hivyo, akikukosea chukua namba zake au ya gari yake nenda Kambini kashitaki nenda na barua ya mtendaji.
Basi mniwie radhiKwahyo umeona bora kumtukania na ulanzi wetu??
Kwa niaba ya wahehe,wakinga na wabena wote nasema hivi tumekasilishwa na maoni yako kwa kosa la kutukana ulanzi.
[emoji23][emoji849][emoji23][emoji23]Masoja ni majinga, mengi shule imepita kushoto, kupiga watu hakurudish mtu aliekufa, hayanaga akili masoja yan akishindwa mmoja yanakuja kwa kikundi, a man fights by himself…ndio mana wahuni wakimkuta soja pekeake wanampapasa matako sababu wanajua ni lilaini kama papai, yakiwa mengi yanajifanya maninja pumbavu kabisa….
Hii safi sana.Na Raia wa kawe wamesema nyie mna wapiga ila wao watakuwa wanawapumzisha kwa amani mmoja baada ya mwingine. Sababu mkiwa mmoja mmoja mnakuwa dhaifu kama wanawake malaya. Wakaongezea mkimaliza kuwapiga muwe umnanywea pombe huko huko kambini mkijichanganya huku nk mwendo wa sumu mkajifie kwenye hanga huko. KAZI IENDELEE
Kwahiyo wakaenda kuwapiga raia ili iweje?Police walizingua walikataa kumkabidhi muuaji kwa wale maninja a.k.a MPs
"Jeshi la sita Duniani la piga Raia wasiokua na hatia" By Burundi news paper!!You can call them pig fighters, such kind of act is done by all spies of pigs, call it a memorable shame
Mi nashauri, ajira za jeshi ziwe za kujitolea na si za mishahara, maana kuna watu wao akili zao ziko kwa mshahara tu,na wala si wito wa kufanya kazi kwa uzalendo!!Kama kosa ni la polisi kikaidi kumkabidhi mtuhumiwa kwao,kwanini hao askari wasiwe wanaenda kila siku kwenye kituo husika wanapiga hao polisi,hadi wakabidhiwe mtuhumiwa husika...?
Tena wapumbavu flani husema JW mmoja,ni sawa na askari polisi 200,sasa kwanini asutumwe MP mmoja tu,akamchukue mtuhumiwa kwa nguvu..,aone kama atakutana na bisibisi au nini hapo kituoni.Ni ujinga tu,waendelee kurudi hapo Kawe,wapige wananchi tu,wataona akili za wananchi,wao si wamekariri BISIBISI,watashangazwa pale watakapofanyiwa sapraizi na kingine.
Mi nashauri, ajira za jeshi ziwe za kujitolea na si za mishahara, maana kuna watu wao akili zao ziko kwa mshahara tu,na wala si wito wa kufanya kazi kwa uzalendo!!
Hakika.Mi nashauri, ajira za jeshi ziwe za kujitolea na si za mishahara, maana kuna watu wao akili zao ziko kwa mshahara tu,na wala si wito wa kufanya kazi kwa uzalendo!!
Kwa sababu hujui hata kuandika vaa tuu hiyo kanzu na " kibarakSHEHE"apa sku hz nkitak kutoka njevnavaa zangu kanzu na kibarakshehe au manguo makubwa sijiweki kibshoo wala kihuni aisee mpka mzozo ukaTe
Ili majambazi mpate kombati Za bure?Mi nashauri, ajira za jeshi ziwe za kujitolea na si za mishahara, maana kuna watu wao akili zao ziko kwa mshahara tu,na wala si wito wa kufanya kazi kwa uzalendo!!
muhimu kuelewana maalimKwa sababu hujui hata kuandika vaa tuu hiyo kanzu na " kibarakSHEHE"
.
Polisi wapewe onyo na wapumbavu wasiokuwa na maadili ya kazi yao?!Hii iwe ni warning kwa jeshi la police popote.
Hana akili sasa kesi ya mauaji wapewe wanajeshi sio mzima mleta madaWewe naye sijui umekunywa ulanzi asubuhi yote hii
Wamkabidhi kwa jeshi kwa sheria ipi?
Hilo ni jukumu la polisi hao wajeda washenzi wasiokuwa na akili ilitakiwa watulie huko kambini kwao