Oooooh kumbe alikuwa anapata mshale wake wa jicho kama tangazo lilivyo elezaKafungua Duka wakati wenzake wamefunga..
Au hakuona tangazo
Atakuwa mnyakyusa huyo🤣🤣Huyo dada mwenye kilemba chekundu aanagawa mbata si mchezo...
Kono la kushoto limemshika mchina matai, halafu kono la kulia linashambulia kwa mcharazo...
Angalia vizuri kuna mwamba ana shati la drafti drafti alirusha teke flani hivi kama hataki vileHalafu wanaume wapo wanashadadia eti mpigeni huyo🙆🙆
Ila wanaume wa Dar 😭😭😭
Atakuwa mnyakyusa huyo🤣🤣