Dini ya maonyesho (show) kama mziki wa hadharani wa Diamond na Zuchu
Huyo kafiri ndugu na kafiri Netapaka hawajitambui, na hawataweza kufanya hivyoSababu ya kuswali barabarani n nin
Kumbe komenti Kama hizi zinaruhusiwa jf?Halafu wanayemuomba mwenyewe hana habari nao kabsa hawajifunzi kwa wenzao hamas na Hezbollah!!!!!!!
Allah alitajwa sana OCTOBER 7 kwenye kila tukio mpaka matukio ya kubaka matokeo yake sasa hivi Allah hana hata habari wafuasi wake wa mila na desturi za kiarabu wanauwawa gaza kama kuku yeye yuko busy ana kula fegi tu.
Ukiswali kwa kujificha mungu atakusikiaje?Hao wanazua taharuki kwa wengine kwani uislam hautaki katika kuliendea jambo la ibada uwakele wengine au mambo ya wengine yasimame.
Walipaswa kujiweka pembeni na bado swala yao ingekuwa imetimia tofauti na kuhalibu taswira ya dini kwa maamuzi yao binafsi.
Kwa wingi wao huo na karibu wote ni wakazi wa hapo PA wameshindwa kupata uwanja au hata parking ili wafanye ibada kwa utulivu tofauti na kuleta hali ya kujionesha kwa wengine namna walivyo watu wa ibada.
Tofauti na hapo labda kama walikuwa na kongamano na wamepata kibali toka kwa mtawala watakuwa sahihi.
Uislam hautaki kuonea wala kuonewa,ni amani na salama mwanzo hadi mwisho.
Mjadala ufungwe,umemaliza kila kitu,Kwa kuongezea,Swala ya kwako wewe isiwe maudhi Kwa wengine.Hao wanazua taharuki kwa wengine kwani uislam hautaki katika kuliendea jambo la ibada uwakele wengine au mambo ya wengine yasimame.
Walipaswa kujiweka pembeni na bado swala yao ingekuwa imetimia tofauti na kuhalibu taswira ya dini kwa maamuzi yao binafsi.
Kwa wingi wao huo na karibu wote ni wakazi wa hapo PA wameshindwa kupata uwanja au hata parking ili wafanye ibada kwa utulivu tofauti na kuleta hali ya kujionesha kwa wengine namna walivyo watu wa ibada.
Tofauti na hapo labda kama walikuwa na kongamano na wamepata kibali toka kwa mtawala watakuwa sahihi.
Uislam hautaki kuonea wala kuonewa,ni amani na salama mwanzo hadi mwisho.
Hata hapa bongo huwa mnafunga mabarabara TU mkijiamulia, utaskia sjui maulidi sjui nini barabara zimefungwa.Hao wanazua taharuki kwa wengine kwani uislam hautaki katika kuliendea jambo la ibada uwakele wengine au mambo ya wengine yasimame.