Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 518
- 1,053
Barabara pia inaweza kutumika kwa michezo na kadhalika kikubwa ni kutoa taarifa kwa waliopewa dhamana ambao ni serikali.Ufinyu wa Maeneo kivipi? Kuna viwanja vingapi? Kuna kumbi ngapi?
Ule ni uhuni TU ili kuwahubiria wapita njia.
Kwahyo hata kikundi wakitaka kuvunja kikoba wanaruhusiwa?
Haijalishi unatoa taarifa Kwa balozi wa nyumba kumi au hautoi,,,, barabara hazitakiwi kuwa sehemu ya shughuli tofauti na usafirishaji.
Elewa kila jambo likifuata utaratibu uliowekwa linakuwa si baya.