Raia wa Marekani wapinga vikali watu wa dini kufunga barabara kuswali

Changamoto ya jamaa zangu hawa ni kujionyesha machoni pa watu, hiyo ni sehemu ya shida kubwa sana miongoni mwao.

Jusi kati nilikuwa nasafiri kwenye meli, mle ndani jamaa mmoja alikuwa maliwatoni, katoka kanzu yote imejaa maji hadi mzuzu, namuuliza kulikoni ulikuwa na ugomvi na maji? Kajibu nlkuwa natia uzu!!.

Aya sawa, (haikuwa zamu yangu kuingia) huyo jamaa akasogea pembeni kuna bomba kaanza kunawa uso na mzuzu wake huku anatema mate mle kwenye sinki.

Sasa piga picha huyo ndiye kashika dini anafanya vitu vya namna hiyo nsg, yaani ni HardWay!.
 
Hata hapa bongo huwa mnafunga mabarabara TU mkijiamulia, utaskia sjui maulidi sjui nini barabara zimefungwa.
Inakera sana kwasababu barabara ni za wote na zimejengwa na serikali sio na dini yenu.
Inakera sana inakera sana.
Barabara hufungwa kwa maulidi tz tangu kabla babu yako hajazaliwa,na itaendelea kuwa hivyo,imekua hivyo kwa harusi nk,hupendi hana nchi
 
Kushika udhu kunakukera!?
 
Barabara hufungwa kwa maulidi tz tangu kabla babu yako hajazaliwa,na itaendelea kuwa hivyo,imekua hivyo kwa harusi nk,hupendi hana nchi
Wewe inama nkusweke babu zako hata hawakuwa na barabara za kufungwa.
 
Sio ustaarabu kutema tema mate na makohozi kwenye masinki ya kunaiwia ya umma.
Muongo huyo,mtu chooni kushika udhu kisha atoke nje asukutue kwenye sinki!!..wanaosukutua husukutua wakichukua udhu
 
Ukiswali kwa kujificha mungu atakusikiaje?
Ukisali bila watu kukuona wakati mungu yupo mbali hakuoni, nani atakuwa shahidi wako kwamba huwa unaswali?
Hayo ni mawazo ya tofauti kwani yeye Mwenyezi Mungu ni msikivu na mwenye kuona kila jambo hata uwe katika ngome nzito kiasi gani.

Mweneyezi Mungu yupo karibu na waja wake kuliko chochote wanachozania, hivyo aliyetuumba anatujua zaidi kabla hatujakuwa chochote miaka mingi.
 
Hata hapa bongo huwa mnafunga mabarabara TU mkijiamulia, utaskia sjui maulidi sjui nini barabara zimefungwa.
Inakera sana kwasababu barabara ni za wote na zimejengwa na serikali sio na dini yenu.
Inakera sana inakera sana.
Nazani huwa wanatoa taarifa kwa serikali na kupata kibali kutokana na umuhimu wa shughuli husika , mfano misikiti ya kariakoo baadhi.

Hata mitaani jamii zote huwa zinafunga barabara kwa matukio tofauti tena wakati mwingine bila ya kutoa taarifa serikali za mitaa, nazani ufinyu wa maeneo ndiyo unachangia kuwepo kwa kadhia hizi hivyo serikali inaweza lifikiria hilo ili jamii zingine ziendelee na majukumu yao kwa wakati wote.
 
Karikoo ijumaa kama kawaida lazima wafunge
 
Ukiona unaweza tambua madhaifu ya mtu na kuyavumilia basi wewe ni Mwelevu zaidi, mapokeo ya dini wengine wanayabeba kwa nguvu kubwa sana kumbe Uislam siyo mgumu kabisa na pindi ukitaka kuleta ugumu ndani yake unakushindwa na matokeo yake ni kuwa kero kwa wengine.

Tatizo lingine kuna jamii zinajiona ziko peponi kwa mapokeo ya dini tu bila kuzingatia maelekezo ya dini husika.
 
Ufinyu wa Maeneo kivipi? Kuna viwanja vingapi? Kuna kumbi ngapi?
Ule ni uhuni TU ili kuwahubiria wapita njia.

Kwahyo hata kikundi wakitaka kuvunja kikoba wanaruhusiwa?

Haijalishi unatoa taarifa Kwa balozi wa nyumba kumi au hautoi,,,, barabara hazitakiwi kuwa sehemu ya shughuli tofauti na usafirishaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…