Day 1 gongs
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 518
- 1,053
Barabara pia inaweza kutumika kwa michezo na kadhalika kikubwa ni kutoa taarifa kwa waliopewa dhamana ambao ni serikali.Ufinyu wa Maeneo kivipi? Kuna viwanja vingapi? Kuna kumbi ngapi?
Ule ni uhuni TU ili kuwahubiria wapita njia.
Kwahyo hata kikundi wakitaka kuvunja kikoba wanaruhusiwa?
Haijalishi unatoa taarifa Kwa balozi wa nyumba kumi au hautoi,,,, barabara hazitakiwi kuwa sehemu ya shughuli tofauti na usafirishaji.
Wadhibitiwe nao.Wale wa dini nyingine nao wakifunga maspika yao barabarani wakaanza kupiga kwaya itakuwaje?
Hao wanazua taharuki kwa wengine kwani uislam hautaki katika kuliendea jambo la ibada uwakele wengine au mambo ya wengine yasimame.
Walipaswa kujiweka pembeni na bado swala yao ingekuwa imetimia tofauti na kuhalibu taswira ya dini kwa maamuzi yao binafsi.
Kwa wingi wao huo na karibu wote ni wakazi wa hapo PA wameshindwa kupata uwanja au hata parking ili wafanye ibada kwa utulivu tofauti na kuleta hali ya kujionesha kwa wengine namna walivyo watu wa ibada.
Tofauti na hapo labda kama walikuwa na kongamano na wamepata kibali toka kwa mtawala watakuwa sahihi.
Uislam hautaki kuonea wala kuonewa,ni amani na salama mwanzo hadi mwisho.
Tena hii tabia ni ya kawaida sana kwa jamii ya kiarabu na wale wanaofagilia utamaduni wao pia wameiga tabia hii ya hovyo.Sio ustaarabu kutema tema mate na makohozi kwenye masinki ya kunaiwia ya umma.
Ulaya hasa Uingereza na Marekani hawaruhusu maspika yanayo toa sauti kwa watu wengine wasio husika. Tukubali tu kwamba Waislamu hapa wanazingua na wamezingua tena kwenye nchi ambazo hata sio za kiislamWale wa dini nyingine nao wakifunga maspika yao barabarani wakaanza kupiga kwaya itakuwaje?
Narudia tena kusema, Barabara hazipaswi kutumika Kwa shughuli yeyote tofauti na usafirishaji.Barabara pia inaweza kutumika kwa michezo na kadhalika kikubwa ni kutoa taarifa kwa waliopewa dhamana ambao ni serikali.
Elewa kila jambo likifuata utaratibu uliowekwa linakuwa si baya.
Kama kawaida yaoUlaya hasa Uingereza na Marekani hawaruhusu maspika yanayo toa sauti kwa watu wengine wasio husika. Tukubali tu kwamba Waislamu hapa wanazingua na wamezingua tena kwenye nchi ambazo hata sio za kiislam
Ni kuonyesha ubabe nothing moreSababu ya kuswali barabarani n nin
Niliwahi kwenda Mwanza one of the Fridays, city center kabisa nao walifunga barabara, hawa watu ni changamoto sanaKama kawaida yao
Kwanini msitumie viwanja vya wazi na misikiti ?! Imani ya kukera wengine ni ya kishetani.Barabara hufungwa kwa maulidi tz tangu kabla babu yako hajazaliwa,na itaendelea kuwa hivyo,imekua hivyo kwa harusi nk,hupendi hana nchi
Vibali hutolewa,kama harusi tu mtaaniKwanini msitumie viwanja vya wazi na misikiti ?! Imani ya kukera wengine ni ya kishetani.
Kunywa sumu ukufe 😀Hii kitu hua inanikera sana
Unakuta shekhe ubwabwa Ana jambo lake la kumuozesha mtoto wa miaka tisa kwa mzee wa miaka 90, anafunga barabara
View attachment 3416487
Unabisha nini wewe, yaani unanibishia mtu niliyefuata vibali!!.. wakati wa magu mpaka leo tukapewa sharti la kuishia saa sita usiku..msiba huwezi omba kibaliHakuna mtu anayepewa kibali cha harusi kufunga barabara, hata wanaofunga barabara kwa msiba huwa hawana kibali.
Niletee hy sumuKunywa sumu ukufe 😀