Raia wa Zambia na Malawi watatakiwa ku-deposit 15000 USD kabla ya kupewa VISA

Raia wa Zambia na Malawi watatakiwa ku-deposit 15000 USD kabla ya kupewa VISA

Busu la Kenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2025
Posts
2,583
Reaction score
4,776
Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja.

Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa hela Yao. Wakipitiliza muda wa Visa wataondolewa kwa nguvu na kupoteza elfu 15 waliyo deposit.

Sheria hiyo pia huenda ikafuata mataifa mengine labda kaskazini mwa nchi hizo.

Source: BBC
 
Hapo ndo viongozi wetu wanatakiwa kua na uchungu wa Kila mtu ajenge nchi yake, hao wazungu sisi tunawabembeleza kuja kwetu ila wao ukitaka kwenda kwao inakua kama unataka kwenda mbinguni.....
 
Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja.

Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa hela Yao. Wakipitiliza muda wa Visa wataondolewa kwa nguvu na kupoteza elfu 15 waliyo deposit.

Sheria hiyo pia huenda ikafuata mataifa mengine labda kaskazini mwa nchi hizo.

Source: BBC

Hujamalizia kumsifia imaaam wenu...
 
Sheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja.

Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa hela Yao. Wakipitiliza muda wa Visa wataondolewa kwa nguvu na kupoteza elfu 15 waliyo deposit.

Sheria hiyo pia huenda ikafuata mataifa mengine labda kaskazini mwa nchi hizo.

Source: BBC
US chini ya Trump imekuwa bully mkubwa. Bahati mbaya sisi tunawahitaji sana watalii kutoka US. Vipi, Kuna habari gani kuhusu kipenzi chetu?
 
Hujamalizia kumsifia imaaam wenu...
Hahaha hahaha. Mcheki mwamba hapo Chini akivuka mto Euphrates kuelekea Karbala kuupigania kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.

cartaz-da-ashura-guerreiros-e-homens-corajosos-do-exercito-do-imam-hossein-em-roupas-verdes_80...jpg
 
05 August 2025

Marekani sasa mbali ya kulipia gharama za viza, msafiri wa utalii atatakiwa pia kutoa fedha za ziada kama bondi ambayo itarejeshwa mara mtembezi huyo atakapomaliza matembezi nchini Marekani na kuondoka kurejea nchini kwao.

Sharti hili ni kuzuia watu waliopata visa kutokomea na kwenda kusikojulikana ndani ya Marekani.

Sharti hilo litaanza kutumika kwa raia wa nchi za kiAfrika, na nchi zilizoteuliwa kuwa kama shamba darasa (pilot project) ni Malawi na Zambia kisha mafanikio yake kufanyiwa uchambuzi kama ni mpango sahihi wa kuzuia wazamiaji na ikiwa utaonesha mafanikio nchi zingine kadhaa barani Afrika na duniani zitaongezwa katika mfumo huo wa kuweka bondi.

Countries Subject to Visa Bonds​

Last Updated: August 5, 2025

The Department of State has identified nationals of the following countries as subject to visa bonds, as outlined in INA Section 221(g)(3) and the recently published Temporary Final Rule (TFR) establishing the pilot program, based on their B1/B2 overstay rate per the Department of Homeland Security’s FY 2023 Overstay Report.
  • Malawi
  • Zambia
Starting August 20, 2025, any citizen or national traveling on a passport issued by one of these countries who is found otherwise eligible for a B1/B2 visa must post a bond in amounts of $5,000, $10,000, or $15,000, determined at time of visa interview. The applicant must also submit a Department of Homeland Security Form I-352 agreeing to the terms of the bond, through the Department of the Treasury’s online payment platform Pay.gov. This requirement applies regardless of place of application.
Applicants should only submit a Form I-352 to post a bond after being directed to do so by a consular officer. Applicants will be provided a direct link and must pay via Pay.gov – applicants must not use any third-party website for posting the bond as the U.S. Government is not responsible for any money paid outside of U.S. Government systems.
A bond does not guarantee visa issuance, and if any individual pays fees without being directed to do so by a consular officer, that money will not be returned.

Required Ports of Entry​

As a condition of the bond, all visa holders who have posted a visa bond must arrive to and depart from the United States via one of the ports of entry listed below. Failure to do so may result in being denied entry or a departure not being appropriately registered:
  • Boston Logan International Airport (BOS)
  • John F. Kennedy International Airport (JFK)
  • Washington Dulles International Airport (IAD)

Visa Bond Compliance​

The full visa bond amount will be returned to the applicant if the applicant complies with all the terms of the nonimmigrant visa status and with the terms of the visa bond, which are set out on the bond form (Department of Homeland Security’s Form I-352 Immigration Bonds) and in the Federal Register. The bond will be canceled and the bond money will be automatically returned in the following circumstances:
  • The visa holder departs from the United States on or before the date to which he or she is authorized to remain in the United States; or
  • The visa holder does not travel to the United States before the expiration of the visa; or
  • The visa holder applies for and is denied admission at the U.S. port of entry.

Visa Bond Breach​

The Department of Homeland Security is responsible for determining that a visa holder has breached the terms of the visa bond. The Department of State will forward cases in which the visa holder appears to not have complied with the terms of the visa bond to the U.S. Citizenship and Immigration Services (USCIS) for a breach determination, including, but not limited to, the following circumstances:
  • The visa holder departs from the United States after the date to which he or she is authorized to remain in the United States,
  • The visa holder remains in the United States after the date to which he or she is authorized to remain, and does not depart,
  • The visa holder applies to adjust out of nonimmigrant status, including claiming asylum.
 
Mguso mpana wa sharti hilo wajadiliwa

Zambia and Malawi Tourists to Face $15,000 Visa Bonds Under New U.S. Travel Rules​


August 6, 2025
2,200 views
visa_denied.jpg

In a sweeping immigration policy shift, the United States has announced that tourists from Zambia and Malawi will be the first to face mandatory visa bonds of up to $15,000 when applying for U.S. visitor visas, according to a statement released by the U.S. Department of State.

The controversial policy, set to take effect on August 20, 2025, requires B1/B2 visa applicants from the two African nations to post refundable bonds of $5,000, $10,000, or $15,000 at the time of their visa interview. The exact amount will be determined by consular officers based on individual cases.

The funds will be returned if the applicant leaves the U.S. on time or if the visa is denied or canceled before travel. However, the U.S. government will retain the bond if the individual overstays, seeks asylum, or violates the terms of their stay.

This move revives a 2020 policy proposed by former President Donald Trump but never enforced due to the COVID-19 pandemic. Now in his second term, Trump is intensifying his hardline stance on immigration, citing the need to address high overstay rates and improve screening from certain nations.

“This targeted, common-sense measure reinforces the administration’s commitment to U.S. immigration law while deterring visa overstays,” said State Department spokesperson Tammy Bruce.

A spokesperson added that the bond requirement is aimed at countries with “high overstay rates, screening and vetting deficiencies, and foreign policy considerations.” More countries are expected to be added to the list as the pilot program expands.

Implications for Travelers from Malawi and Zambia
The announcement has drawn concern from immigration experts, diplomats, and travelers alike. While the bond is technically refundable, critics argue it creates a significant financial barrier for legitimate tourists and families.

High upfront cost: Many potential visitors may struggle to raise $15,000 in advance, even if the funds are later returned.

Limited flexibility: The visa comes with a single-entry and a maximum 30-day stay, making it unsuitable for extended visits or emergencies.
Complex logistics: Travelers must navigate a bond posting system, departure compliance tracking, and refund procedures, with any errors risking forfeiture.

“This program could unintentionally punish honest visitors from lower-income backgrounds while doing little to curb actual visa violations,” said one immigration attorney.

The private sector is also sounding alarms. Companies that depend on international travel for meetings, partnerships, and technical training fear operational disruptions.

“Business travel from Zambia and Malawi will become more difficult,” said a trade consultant. “These rules could push companies to move their meetings or investments elsewhere.”

Tourism operators in the U.S. also worry the policy will drive away much-needed visitors, especially from Africa, a region where U.S. tourism is trying to gain ground.

As the world watches how this visa bond experiment unfolds, one thing is clear: U.S. immigration remains on a path of increasing scrutiny, with growing costs and complexity for many would-be visitors.
 
Taifa jeuri linalojiamini Tanzania linaweza kutoa masharti kwa Marekani ?
Marekani pasikieni tuu, ni nchi yenye maendeleo sana na kila mtu ataka kuja huko, ila kwa wema tuu, sasa hiyo misharti yao imezidi sasa. bora kila mtu akae kwake haina shida
 
Kwa Zambia ilikuwa ni suala la muda tu. Zambia wameegemea kwa mchina sana kiasi kwamba limekuwa kama koloni lao. Hadi maeneo ya wilayani wachina wanafungua malls na kuuza hadi mchicha kwa bei sawa na magengeni.
Usisahau pia Zambia inadaiwa na mchina kupindukia
 
Back
Top Bottom