Wako sawa, wanataka watu wawajibikaji na sio tegemezi. Africa ni kulia lia kila kukicha kulalamika tu, tunataka kila kitu tufanyiwe.
Wao wanajitambua kuwa wao ndo wawajibikaji wa taifa ila huku tunataka taifa ndo litufanyie yaani tunajiondoa kuwa sehemu ya uwajibikaji.
Huku wanaojitambua ni wachache ndo maana harakati za wanaojitambua ni ngumu kufanikiwa sababu wajinga, wavivu na ma coward ni wengi hivyo mwisho wa siku rasilimali zetu zinaishia kunufaisha wachache. Mi naona hiyo sheria iwekwe kwenye sh*thole country zote hadi pale akili itapowakaa sawa.
Haiwezekani unabarikiwa rasilimali zote hizi afu bado unabaki kuwa masikini.