Kweli ,kweliHapo ndo viongozi wetu wanatakiwa kua na uchungu wa Kila mtu ajenge nchi yake, hao wazungu sisi tunawabembeleza kuja kwetu ila wao ukitaka kwenda kwao inakua kama unataka kwenda mbinguni.....
Sahihi ni kusema wananchi wawe na uchungu wa kusimamia na kuwawajibisha viongozi wao kujenga nchi zao. Sheria kama hizi hazina madhara kwa viongozi na familia zao kwani tatizo kwao siyo fedha. Tatizo liko kwa wananchi ambao wanadanganyika na kununulika kirahisi eti CCM mbele kwa mbele....Hapo ndo viongozi wetu wanatakiwa kua na uchungu wa Kila mtu ajenge nchi yake, hao wazungu sisi tunawabembeleza kuja kwetu ila wao ukitaka kwenda kwao inakua kama unataka kwenda mbinguni.....
Hapo wangefanyiwa the same wakija huku watozwe 3700usd visa application the 100 ya visa tungepata pesa saanaSheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja.
Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa hela Yao. Wakipitiliza muda wa Visa wataondolewa kwa nguvu na kupoteza elfu 15 waliyo deposit.
Sheria hiyo pia huenda ikafuata mataifa mengine labda kaskazini mwa nchi hizo.
Source: BBC
Bora hata hao wazambia na wamalawi, waburundi wamepigwa nyundo hakuna kuingiza pua USA. Mzungu bado ana nguvu dhidi ya mweusi hata baada miongo mingi kupita na bado giza totoro huko mbeleni.
Trump kichaa aisay kwani US ni peponi auSheria mpya kutoka uhamiaji Marekani inawataka raia wa Zambia na Malawi wanaotaka kwenda Marekani kwa kutembea ama kibiashara ku deposit kwanza kiasi cha dollars za marekani elfu 15 kabla ya kupewa Visa ya mwaka mmoja.
Baada ya Visa kukaribia kuisha wanatakiwa kuondoka Marekani na kurudishiwa hela Yao. Wakipitiliza muda wa Visa wataondolewa kwa nguvu na kupoteza elfu 15 waliyo deposit.
Sheria hiyo pia huenda ikafuata mataifa mengine labda kaskazini mwa nchi hizo.
Source: BBC
Ina maana huyu mwamba alikuwa Hana wasaidiziHahaha hahaha. Mcheki mwamba hapo Chini akivuka mto Euphrates kuelekea Karbala kuupigania kuutetea na kuulinda uislamu dhidi ya dhulma ukandamizaji unyanyasaji na uonevu.
View attachment 3433719
Hatari sana mkuu tutafika japo kwa kuchelewa, tatizo kubwa ktk nchi nyingi za Africa hazitaki kwa makusudi kuwekeza katika watu wake badala yake wanawekeza kila rasilimali zilizopo katika circle zao na familia zao. Huko EU, UN na AU watu wapo kama visukure hawana hili wala lile wapo kuchanyanya rangi tu. AU badala ya kuona jinsi weusi hawana sauti EU and UN wangeifanya AU kuwa powerful matokeo yake wanalalama rushwa imetawala, na kulia lia hawana pesa.Kwani mkuu mweusi baada ya hiyo miongo anaaminika kwa lipi? Kashamaliza unyani wake? Hatuna wa kumlaumu kwa sababu bado tumeendelea kuwa wajinga na wapumbavu pamoja na miongo hiyo unayoisema! Ukitazama maisha ya weusi na serikali zao utaona kabisa mzungu ana kila haki ya kuwa na nguvu! Ndio ukweli wenyewe
Sadly...
Kuna mtu yeye na familia yake walihamia United Kingdom mwaka juzi wakitokea West Africa na anasema yeye na mkewe na toto 3 imewagharim Β£50,000 mpaka wao kufika huko, sasa hivi masharti ya kufanya kazi na visa yamekuwa magumu hawana hata uhakika kama wanaendelea kuishi huko. Sasa hii sijui ndio tuite risk taker au obsession mimi hapana kwa kweli.Marekani pasikieni tuu, ni nchi yenye maendeleo sana na kila mtu ataka kuja huko, ila kwa wema tuu, sasa hiyo misharti yao imezidi sasa. bora kila mtu akae kwake haina shida
Vipi Tz.Bora hata hao wazambia na wamalawi, waburundi wamepigwa nyundo hakuna kuingiza pua USA. Mzungu bado ana nguvu dhidi ya mweusi hata baada miongo mingi kupita na bado giza totoro huko mbeleni.
Safi sana ya nini. maana wanakuja na huku Tz. we uza simu zako kwenye hiyo kordo ya v ukiingia unatokea upande wapili πππ.Safi sana
Warundi ni moja ya watu wasiopendwa hata kidogo....sijui tatizo nini manake hata hapa nchini MTU akikuita mrundi ni Sawa na aliyekutukania mamaako.Bora hata hao wazambia na wamalawi, waburundi wamepigwa nyundo hakuna kuingiza pua USA. Mzungu bado ana nguvu dhidi ya mweusi hata baada miongo mingi kupita na bado giza totoro huko mbeleni.
Kuna angalizo likikuwepo pengine lisharekebishwa I'm not sureVipi Tz.
Don't take it too personalSafi sana ya nini. maana wanakuja na huku Tz. we uza simu zako kwenye hiyo kordo ya v ukiingia unatokea upande wapili πππ.