Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

Raia wa Zanzibar wapigwe marufuku kupiga kura ya kumchagua Rais wa Tanganyika

hao wazanzibari hawasaidiii chochote , hio Kura ni pambo tu, wapiga kura znz ni kama wanafika milion moja, wakati watanganyika Kuna wapiga kura milioni 30, kwa hio hizo kura za Zanzibar hazisaidiii chochote
Kama hazisaidii chochote nini mantiki ya wao kupiga kura?!
 
Kwa kawaida migambo TANZANIA wanamiliki virungu.
Pia migambo TANZANIA wana jezi zao.
Hao migambo wa Zanzibar wapo hivyo?
Kuna mfanano wowote kuanzia mavazi hadi siraha kati ya mgambo wa huku bara na hao wazanzibari?
Huyo ameamua tu kulikejeli Jeshi la Zanzibar kwa vile haishi huko.

Lakini anaelewa fika kuwa Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake, raia wake, Rais wake, wabunge wake, mawaziri, Wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, Jeshi, wimbo wa Taifa, bendera yake, n.k.
 
Safi sana mtaalam. Umeeleza hali ilivyo! Je unasemaje kuhusu haki za watanganyika ndani ya Tanzania!kwenye nchi sehemu ya Tanganyika na sehemu ya zanzibar? baada ya Tanganyika" kufa"?
Samahani mkuu! Napenda kukupa taarifa kuwa Tanganyika haijafa na haitakaa ife.
 
Wazanzibari wote ni Watanzania ila sio Watanzania wote ni Wazanzibari tambua hilo.
 
KIFUNGU MGOMBEA URAIS WA TANZANIA APATE KURA ZA KUKUBALIKA SEHEMU ZOTE ZA INAYOUNDA MUUNGANO

Kuna umuhimu rais wa Muungano kupata asilimia 50 + kura 1, sehemu zote za inayounda Muungano.

Hii ya mgombea urais muungano kupata asilimia 60 bara na kule Zanzibar kupata asilimia 40 au 60 asilimia Zanzibar na asilimia 48 bara kumfanye mgombea kukosa urais.

Vyama vya siasa vinastakiwa kuwa na taswira ya muungano, iwe hivyo hivyo kwa rais wa Tanzania apate kura zinazoonesha anakubalika sehemu zote zinazounda Jamhuri ya Muungano wa nchi za Tanganyika na Zanzibar.
 
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.

Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.

Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Kama ni hivyo tuanze kudai Tanganyika yetu kwanza, tukiipata ndipo tuwazuie wazanzibari kupiga kura maana kwa sasa wanapiga kura kumchagua raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na sio TANGANYIKA. 😀
 
Uhuni tu wa ccm, ukweli ni kwamba rais wa Tanganyika hana nguvu Zanzibar
 
Yes, na sio kimataifa tuu, hata katiba ya JMT, rais wa Zanzibar ni almost nothing and nobody kwenye set up ya JMT, ili kumlindia hadhi, rais wa Zanzibar ni waziri asiye na wizara maalum ili aingie kwenye cabinet, baada ya Komandoo Dr. Salmin Amour kupitisha marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010 kwa Zanzibar kujiita nchi, aligoma kuapishwa na kususia vikao vya cabinet yetu, na baada tuu ya kumaliza urais wa Zanzibar, he was grounded!, kama Jumbe!.
Kimataifa Zanzibar ni sawa tuu na mkoa!.
P
Kumbe Komandoo kuwa vile ilivyo sasa ni amepigwa Pin?

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.

Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.

Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.

nishasikia nchi kama china raia wa jimbo au province moja huwezi hama kwenda kuishi province nyingine!!…

Ungekua n muungano wa hivo tu
 
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.

Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.

Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
True
 
Maelezo mengi lakini hujatatua kero ya raia wa nchi jirani kupiga kura nchi nyingine.
Nadhani utatuzi ni kubadili katiba harafu Zanziba iwe jimbo la visiwani na Tanganyika jimbo la Bara. Harafu kuwe na wakuu wa majimbo. Rais ni mmoja na atachaguliwa kutoka jimbo lolote
 
Back
Top Bottom