Kama hazisaidii chochote nini mantiki ya wao kupiga kura?!hao wazanzibari hawasaidiii chochote , hio Kura ni pambo tu, wapiga kura znz ni kama wanafika milion moja, wakati watanganyika Kuna wapiga kura milioni 30, kwa hio hizo kura za Zanzibar hazisaidiii chochote
Huyo ameamua tu kulikejeli Jeshi la Zanzibar kwa vile haishi huko.Kwa kawaida migambo TANZANIA wanamiliki virungu.
Pia migambo TANZANIA wana jezi zao.
Hao migambo wa Zanzibar wapo hivyo?
Kuna mfanano wowote kuanzia mavazi hadi siraha kati ya mgambo wa huku bara na hao wazanzibari?
Samahani mkuu! Napenda kukupa taarifa kuwa Tanganyika haijafa na haitakaa ife.Safi sana mtaalam. Umeeleza hali ilivyo! Je unasemaje kuhusu haki za watanganyika ndani ya Tanzania!kwenye nchi sehemu ya Tanganyika na sehemu ya zanzibar? baada ya Tanganyika" kufa"?
siasa tu ,Kama hazisaidii chochote nini mantiki ya wao kupiga kura?!
Kama ni hivyo tuanze kudai Tanganyika yetu kwanza, tukiipata ndipo tuwazuie wazanzibari kupiga kura maana kwa sasa wanapiga kura kumchagua raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na sio TANGANYIKA. 😀Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Uhuni tu wa ccm, ukweli ni kwamba rais wa Tanganyika hana nguvu ZanzibarKama ni hivyo tuanze kudai Tanganyika yetu kwanza, tukiipata ndipo tuwazuie wazanzibari kupiga kura maana kwa sasa wanapiga kura kumchagua raisi wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na sio TANGANYIKA. 😀
Kumbe Komandoo kuwa vile ilivyo sasa ni amepigwa Pin?Yes, na sio kimataifa tuu, hata katiba ya JMT, rais wa Zanzibar ni almost nothing and nobody kwenye set up ya JMT, ili kumlindia hadhi, rais wa Zanzibar ni waziri asiye na wizara maalum ili aingie kwenye cabinet, baada ya Komandoo Dr. Salmin Amour kupitisha marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya 2010 kwa Zanzibar kujiita nchi, aligoma kuapishwa na kususia vikao vya cabinet yetu, na baada tuu ya kumaliza urais wa Zanzibar, he was grounded!, kama Jumbe!.
Kimataifa Zanzibar ni sawa tuu na mkoa!.
P
Nawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Maskini Dr. Salamin Amour! Kumbe ndiyo maana hashiriki kwenye matukio ya Kitaifa!Kumbe Komandoo kuwa vile ilivyo sasa ni amepigwa Pin?
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
TrueNawapongeza Zanzibar kwa kuwa na msimamo, huwezi kupiga kura ya kumchagua rais wa Zanzibar ikiwa wewe si mzanzibari.
Cha ajabu serikali ya Tanganyika inaingiliwa na Zanzibar, yaani raia wa nchi jirani (Zanzibar) wanapiga kura kuchagua Rais wa Tanganyika.
Jambo hilo lingekuwa na mantiki endapo nasisi Watanganyika tungeruhusiwa kushiriki kuwachagulia Rais watu wa Zanzibar. Kwakuwa hatuwaingilii kwenye uchaguzi wao, na wao wazuiliwe maramoja kutuchagulia Rais.
Nadhani utatuzi ni kubadili katiba harafu Zanziba iwe jimbo la visiwani na Tanganyika jimbo la Bara. Harafu kuwe na wakuu wa majimbo. Rais ni mmoja na atachaguliwa kutoka jimbo loloteMaelezo mengi lakini hujatatua kero ya raia wa nchi jirani kupiga kura nchi nyingine.
Pamoja sanaTrue
No alipigwa pini pale mwanzo, sasa he is invalid, invalidity imempiga pini!.Kumbe Komandoo kuwa vile ilivyo sasa ni amepigwa Pin?
Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app