Raila atanganza kuunda mfumo wa wananchi utakaokua serikali mbadala

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kama alivyokua ameahidi, kwamba atatoa tamko lililokua limesubiriwa, atangaza kwamba atawakusanya makundi mbali mbali ya kijamii na kuunda mfumo mbadala wa serikali ambao utaongoza hadi siku serikali halali itakapobuniwa.

-----------------------------------------------------------------

Kenya's opposition National Super Alliance (Nasa) has dismissed the October 26 repeat presidential election.

The coalition's leader Raila Odinga, speaking for the first time since President Uhuru Kenyatta was declared winner, termed the election as fraud and vowed not to recognise him and his government.

He said that Nasa would instead push for the formation of the People's Assembly to run Kenya until a legitimate government is formed.

“Today we establish People's Assembly to restore democracy in the country,” Mr Odinga said in Nairobi.

“The People’s Assembly will have the youth, religious leaders, economic interest groups and the civil society.”

Nasa, he said, would present petitions for the establishment of the new outfit to govern Kenya to county assemblies for discussion and adoption.

“The assembly's timetable to be released soon,” he said.

National Resistance Movement

In the meantime, Mr Odinga said, Nasa’s resistance wing (NRM) would embark on vigorous pro-democracy campaign through economic boycotts and picketing.

Mr Odinga cast aspersions on the preparation and conduct of the repeat presidential election, saying it fell short of the standards set by poll laws, the Constitution and the Supreme Court.

Mr Kenyatta was declared the winner by the electoral commission IEBC with over 98 per cent of the votes cast in an election boycotted by Nasa.

But Mr Odinga said IEBC failed to conduct the repeat vote as directed by the apex court and instead the ruling Jubilee government, through county police commanders and its politicians, ran the show.

He claimed numbers were inflated in several Jubilee strongholds to give Mr Kenyatta the win and create an impression that Kenyans took part in the exercise.

Kenya opposition to form 'People's Assembly'
 


Nina swali, hivi Raila Odinga na wanasiasa wa Kenya kwa ujumla wanapata wapi hela za kufanyia yote hayo? I mean wanafanya kampeni tangu siku Uhuru Kenya nafikiri ilikuwa 2012 huko ameapishwa mpaka leo hii, sasa hii ni hela ndefu, hapa bongo kwetu hakuna Chama cha Siasa kinachoweza kumudu hiyo gharama!
 
Bwana Odinga ni mtu wa vituko..eti wakenya milioni mbili na nusu tu ndio waliompigia kura Uhuru.sasa sio process tena..imegeuka kwa statistics..anyway..mzee wa watu keshazeeka tumuelewe tu ila cha msingi afahamu wakenya wamefanya uamuzi wao..tunachotaka sasa ni amani na maendeleo..period
 
Magufuli amemponza pale alipoonekana kuwa ni mshirika wake!!
Hata zile traffic light za chato ali design yeye alipokwenda kumtembelea.
 
this guy is loosing his mind....sasa ni people's assembly baada ya NRM....heri tungekuwa na rais mbabadume kama museveni amfinye makend.e mpaka alainike...
 
wana wafadhili wao..mtu kama wanjigi ana hela ndefu ajabu..amekuwa akiwafadhilia hata jubilee katika kampeni zao ila sasa nahisi alikuwa kati ya wafadhili wakuu wa NASA..ila wakenya wana pesa usiwaone tu..watu waliofikwa na ajali ya moto ulioteketeza makazi yao sasa hivi kituo cha redio cha KAMEME FM wameshakusanya hela ya kutosha kuwajengea makazi mapya.juzi tumeshuhudia mzee mmoja akiondokana na ulitima within a single day..kisa kala "githeri" tu na kuvuma kwenye mitandao ya kijamii..
 
waluo wana hela pia, wasomi ni wengi. pia maadui wa kenyatta wanatoa hela. pia odinga mwenyewe sio masikini kipesa kama unavyofikiri.
 
waluo wana hela pia, wasomi ni wengi. pia maadui wa kenyatta wanatoa hela. pia odinga mwenyewe sio masikini kipesa kama unavyofikiri.
Umenoa Jombaa hela hawana bana NASA, ODM, Wiper, NRM, Peoples Parliament wote wamesota kama mbwa koko. Aliye na hela sasa hivi ni role model wangu, his excellency Jimmy Wanjigi, akisepa tu bila kulipa bill, RAO na Kalanzo wanachonga viazi hadi kieleweke!
 
Umenoa hela hawana bana NASA, ODM, Wiper, NRM, Peoples Parliament wote wamesota kama mbwa koko. Aliye na hela sasa hivi ni role model wangu, his excellency Jimmy Wanjigi akisepa tu bila kulipa bill RAO na Kalanzo wanachonga viazi.
😀😀😀umenikumbusha
 
mlikopata hela ya kujenga airport
 
huyu Odinga ipo tatizo..alituaminisha uchaguzi wa tarehe 8/817 hautaibiwa...na kwamba wana tallying center za uhakika
Akasema ana uhakika uchaguzi wa tarehe 26/10/17 hautafanyika na haupo ...
Sasa leo tena anakuja na haya....ingekua kampuni za ku bet wanaruhusiwa kubetisha move za Raila mpaka sasa tungekua tumeliwa...maana kila move yake inaishia kuzaa nyingine...
 
Sasa RAO anadiliki kutamka hivyo, hiyo si "coup d'etat"?
Naona serikali inapaswa ku exercise power zake. Haiwezekani wachezewe kiasi hicho.
Kila kukicha anaibuka na jipya.
 
Lol people in this thread need to go read about

How
1. SOVIET UNION broke
2. Catalonia
3. Arab spring
4. American independence
5. Omkhonto weSizwe in SA aka ANC


Ndio muje hapa museme Raila amepoteza kichwa chake anyway you will see how effective Peoples assembly will be in SPECIFIC COUNTIES

NOT
Nyeri
Kiambu
Meru
Embu
No There it will be merely a saying

See Mombasa, Makueni, Kisumu, Kakamega Turkana
Malindi Kwale etc its opposition centred reforms ...kaeni hapo mkicheka mngoje muone how effective people assemblies usually are


Its constitutional btw

Secondly its peaceful- so hakutakuwa na demos and stone throwimg yenye Githeri media imependelea iwe ...noooo itakuwa peacefull law making and total civil disobedience kama taxation nlikuwa nasema ngoja muone makampuni kwa counties zitakavyo zaliwa ilikushighulikia county zao instead of waiting for the government!!!
Well it will be peacefull unless Government meddles Na Police alafu ianze kuuwa watu Tena na Kusema Raila ndio amesababisha vifo zao


Note: Raila said they will all be Peacefull and within constitutional framework
 
Sasa RAO anadiliki kutamka hivyo, hiyo si "coup d'etat"?
Naona serikali inapaswa ku exercise power zake. Haiwezekani wachezewe kiasi hicho.
Kila kukicha anaibuka na jipya.

Huwa inabidi kumuacha abwatuke atakavyo maana yule hawezi kuguswa, siku akiguswa itabidi polisi wajiandae kwa mauaji ya kimbari kule Nyanza maana wafuasi wake huwa watavuruga mpaka basi. Yaani wanamskliza neno kwa neno, chochote akisema wanakua radhi hata kufa kwa ajili yake.

Kitu naona hapa ni Jubilee, wanaishi kusubiria kujibu kila anachokisema, magazeti nayo yanakuza sana maana akizungumza tu, kurasa zote za mwanzo zinajaza kile amekisema. Hivyo kwa mtindo huo atawatesa sana, kwasababu wanaishi maisha ya kumsklizia Raila na kumjibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…