Chebukati atinga mjini!!View attachment 621642
that sound good no more people dying n destruction of property...kwa hio kuanzia sasa Masenator,Ma Mp,Ma governor n.k kwenye hizo county zitakazomfuata Raila watakua hawalipwi tena mishahara na serikali ya Jubilee...Lol people in this thread need to go read about
How
1. SOVIET UNION broke
2. Catalonia
3. Arab spring
4. American independence
5. Omkhonto weSizwe in SA aka ANC
Ndio muje hapa museme Raila amepoteza kichwa chake anyway you will see how effective Peoples assembly will be in SPECIFIC COUNTIES
NOT
Nyeri
Kiambu
Meru
Embu
No There it will be merely a saying
See Mombasa, Makueni, Kisumu, Kakamega Turkana
Malindi Kwale etc its opposition centred reforms ...kaeni hapo mkicheka mngoje muone how effective people assemblies usually are
Its constitutional btw
Secondly its peaceful- so hakutakuwa na demos and stone throwimg yenye Githeri media imependelea iwe ...noooo itakuwa peacefull law making and total civil disobedience kama taxation nlikuwa nasema ngoja muone makampuni kwa counties zitakavyo zaliwa ilikushighulikia county zao instead of waiting for the government!!!
Well it will be peacefull unless Government meddles Na Police alafu ianze kuuwa watu Tena na Kusema Raila ndio amesababisha vifo zao
Note: Raila said they will all be Peacefull and within constitutional framework
hili la media naona Citizen kama kawaida yao kujitahidi kuripoti habari za ukweli imewatokea puani..Huwa inabidi kumuacha abwatuke atakavyo maana yule hawezi kuguswa, siku akiguswa itabidi polisi wajiandae kwa mauaji ya kimbari kule Nyanza maana wafuasi wake huwa watavuruga mpaka basi. Yaani wanamskliza neno kwa neno, chochote akisema wanakua radhi hata kufa kwa ajili yake.
Kitu naona hapa ni Jubilee, wanaishi kusubiria kujibu kila anachokisema, magazeti nayo yanakuza sana maana akizungumza tu, kurasa zote za mwanzo zinajaza kile amekisema. Hivyo kwa mtindo huo atawatesa sana, kwasababu wanaishi maisha ya kumsklizia Raila na kumjibu.
Kwanini wasilipwe wacha kuwa idiotthat sound good no more people dying n destruction of property...kwa hio kuanzia sasa Masenator,Ma Mp,Ma governor n.k kwenye hizo county zitakazomfuata Raila watakua hawalipwi tena mishahara na serikali ya Jubilee...
August wakenya 15mn walipiga kuraAache use.nge si akubali bwana kashindwa
acha udungayembe wewe utaendaje kupiga kura na miwatu ya RAO imekaba kila kona kuhakikisha hakuna anapiga kura ?August wakenya 15mn walipiga kura
81% turn out
Juzi Raila kajitoa kwa Kura akaambia wafuasi wake wasiende kupiga kura
Wakenya 38.8% wakapigakura
Kwa akili 81% - 38.8% = ???
42.2% ndio walibakia nyumbani
Ukiongeza na 20% walio kaa kando kwa issue tofauti ambayo sio wakikuyu au wakale kwakuwa
County kama kiambu ilikuwa 94% turnout August na kisumu ilikuwa 84%
Niambie how is Uhuru again my leader??
Acha ujaruo wa kijinga sasa kama alikuwa anaweza kuichukua nchi si angeprove kwenye huo uchaguzi sasa aliwastopisha wasiende kupiga kura ili agundue nini sasa.Mi namuona kama maalim seif tuAugust wakenya 15mn walipiga kura
81% turn out
Juzi Raila kajitoa kwa Kura akaambia wafuasi wake wasiende kupiga kura
Wakenya 38.8% wakapigakura
Kwa akili 81% - 38.8% = ???
42.2% ndio walibakia nyumbani
Ukiongeza na 20% walio kaa kando kwa issue tofauti ambayo sio wakikuyu au wakale kwakuwa
County kama kiambu ilikuwa 94% turnout August na kisumu ilikuwa 84%
Niambie how is Uhuru again my leader??
Again mm sio mjaluoAcha ujaruo wa kijinga sasa kama alikuwa anaweza kuichukua nchi si angeprove kwenye huo uchaguzi sasa aliwastopisha wasiende kupiga kura ili agundue nini sasa.Mi namuona kama maalim seif tu
Ange prove aje kwa debe kama ulivyoona wamekuwa wakibadilisha matokeo baada ya kura mpaka makwao - mpaka wakapatikana kwa camera : google alice wahomeAcha ujaruo wa kijinga sasa kama alikuwa anaweza kuichukua nchi si angeprove kwenye huo uchaguzi sasa aliwastopisha wasiende kupiga kura ili agundue nini sasa.Mi namuona kama maalim seif tu
Laleni mbele na ukabila wenu.Na mkiemdelea hivyo mtatwangana vita mfe wote kwa kuendekeza ukabila.Watalii mpaka sasa wanaogopa kuja nchini kwenu wanadai kuna dalili ya vita ona sasa mnavyojiaribiaAnge prove aje kwa debe kama ulivyoona wamekuwa wakibadilisha matokeo baada ya kura mpaka makwao - mpaka wakapatikana kwa camera : google alice wahome
Nikuulize kwanini raila alijotoa kwa debe?
Wakuu wa tume ya uchaguzi siku nne kabla ya Uchaguzi walisema hawawezi peana matokea ya Ukweli na ya haki
Mmoja wao akahofia maisha yake akatorokea marekani
Jaji mkuu akajaribu kuuliwa na watubwasio julikana....mnabishana na hamna facts
Wacha kubadilisha story ikue ukabila hakuna cha ukabila hapa ...nime kupa facts sasa unaanza kuchukua neutral stance aka ukabila idiotLaleni mbele na ukabila wenu.Na mkiemdelea hivyo mtatwangana vita mfe wote kwa kuendekeza ukabila.Watalii mpaka sasa wanaogopa kuja nchini kwenu wanadai kuna dalili ya vita ona sasa mnavyojiaribia
Kwani mvutano wa uhuru na huyo odinga asili yake ni nini kama sio ukabila msilifiche hiloWacha kubadilisha story ikue ukabila hakuna cha ukabila hapa ...nime kupa facts sasa unaanza kuchukua neutral stance aka ukabila idiot
Wewe lala huko LCD yenu
Soma historiaKwani mvutano wa uhuru na huyo odinga asili yake ni nini kama sio ukabila msilifiche hilo
Hapa ndipo unafik wao unanuka vibaya sana. Yaani wana hela sana lakini ona wafuasi wao kijinga wamejaa kibera,mathare kangemi wanaishi umaskini mkubwa na wanatumiwa na hawa mabwenyenye kama condoms.Umenoa Jombaa hela hawana bana NASA, ODM, Wiper, NRM, Peoples Parliament wote wamesota kama mbwa koko. Aliye na hela sasa hivi ni role model wangu, his excellency Jimmy Wanjigi, akisepa tu bila kulipa bill, RAO na Kalanzo wanachonga viazi hadi kieleweke!
Huyu mjinga Raila bado ana fikra zile zake za 1982 coup ,kuchochea machafuko ya 2007/08 na maandamano dhidi ya IEBC ambayo walimwaga damu.Atukome tumechoka na unafik wake na kuharibu nchi ya Kenya kwa tamaa yake ya urais.Sasa RAO anadiliki kutamka hivyo, hiyo si "coup d'etat"?
Naona serikali inapaswa ku exercise power zake. Haiwezekani wachezewe kiasi hicho.
Kila kukicha anaibuka na jipya.