Raila kuja Tanzania Jumamosi kuishawishi Serikali juu ya COVID-19

Inasikitisha na aibu unapotoa hoja zenye kudhihirisha kuwa hujiamini. Niamini huwa huendi kwa jirani akusaidie jinsi ya kuongoza nyumba yako. Subiri hao viongozi wako watakapopewa ridhaa ya kuongoza nchi hii, wazingatie ushauri wako.
 
Hiyo lockdown umeisoma wapi kwenye hoja ya mtoa mada?
 
Unajua nini?
 
Tutaelewana tu, hiyo jumamosi utajua tu kuwa nani mjinga na yupi mwerevu. Na mkija kwenye anga zetu na jezi zenu mtajua tu kuwa hatuwapendi. Na ndipo mtakumbuka kwanini Lissu alisindikizwa faster kuhamishiwa Nairobi.
Hii coment yako utaikimbia hapo oktoba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu afuate njia yake ya kukabili Covid-19 kama wao wamechagua lockdown basi acha wajilock, we nae ni mpuuzi hujui hata unachotetea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Raila aje tu kama anaongelea biashara zake na Kenyatta zilizoko Tanzania ruksa sababu wote wamewekeza Tanzania mengine hayawahusu Magufuli hana vitega uchumi Kenya hauzi hata mishikaki tofauti na wao
 
Unaongelea kutokomeza corona wakati waliokuwa wamejifungia wanaamua kutoka hivyo hivyo kabla hawajaitokomeza.

Wewe na wazungu waliokuwa wanatabiri Africa tutakufa kama kuku wenye sotoka na Corona walisahau kuwa Mungu yupo.
 
Unajua nini?
Tueleze wewe unayejua. Mwambieni Raila kama anakuja kwa ajili ya kushawishi Lockdown atakula za uso na kurejea Kenya kichwa chini. JPM is Firm.

Lile la mipaka wameshamaliza ni utaratibu tu, unasubiriwa biashara ziendelee.
 
Magufuli asikubali kukutanana na watu, waongee kwenye simu. Huyo Raila anatafuta nini aji lockdown na a keep social distance na obey matakwa ya nchi yake hakuna kutoka Nairobi.

Magufuli usikubali kukutana na watu, fanya video conferencing.
 
Magufuli asikubali kukutanana na watu, waongee kwenye simu. Huyo Raila anatafuta nini aji lockdown na a keep social distance na obey matakwa ya nchi yake hakuna kutoka Nairobi.

Magufuli usikubali kukutana na watu, fanya video conferencing.
 
Ugonjwa upi? Watu wanacheza singeli na ku celebrate happy birthday wodini.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa anakuja kupatanisha nini mbona hujasema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…