U tapewa tu source usijali hii ni yamoto. Wameangalia Mtu mzima aliyepo na mwenye busara kati ya viongozi ambao wanaweza kumwelekeza ni Raila.Mkuu ingependeza sana ukatuwekea na source ili tuendelee kumshukuru maulana kwa kuanza kujibu Sala zetu tukiwa na amani zaidi.
Kwa mwendo huu tunaelekea pazuri, kwani ni wazi kuwa penye wengi hakuharibiki jambo.
Tutakuwa tunaelekea kwenye right track.
Mungu ibariki Tanzania.
U tapewa tu source usijali hii ni yamoto. Wameangalia Mtu mzima aliyepo na mwenye busara kati ya viongozi ambao wanaweza kumwelekeza ni Raila.
Utasikia tu huu ni mkakati wa East Africa kuweza kumwelekeza mwenzao maana hata M7 alisema hamwelewi. Shida iko, Kagame amezuia Malori kuingia Rwanda wiki ya pili sasa na ndiye alikuwa rafiki yake.
Stupid post!Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o
Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.
Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.
Tanzania tuko chini kiasi hiki?
Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.
Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope

Kama wewe kiongozi wa wajingaWajinga bado wapo sana nchini!!!
Koyu keza mbochi.
Tuendelee kuchapa kazi tusiyumbishwe na mabeberu.
Stupid post!
Imekuingia!!! Ndo uache ujinga sasaKama wewe kiongozi wa wajinga
In God we Trust
Tafadhali tupe source ya taarifa yakoTanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o
Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.
Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.
Tanzania tuko chini kiasi hiki?
Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.
Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuonea huruma sana aiseeHuwezi kunielewa. Subiria tutawapini sehemu yoyote mkija mtajua tu kuwa watanzania hawawataki
Unanipinga wakati uko mabwepande huko! Unajua tunahangaika vip na wagonjwa wa corona. PumbafuUingereza, Marekani na nchi zingine nyingi zimekuwa zikirudisha raia wao kutoka nchi mbalimbali, sio kutoka Tanzania tu. Hata Tanzania imerudisha raia wake 52 wa Zanzibar toka Oman na Qatar. Labda nikujulishe tu kwamba hospitali za nchi nyingi zimezidiwa na wagonjwa wa corona, wanatoa kipaumbele cha matibabu kwa raia wao. Sio vyema kuongea hadharani jambo ambalo hulijui vizuri, unaanika ujinga wako -- fanya utafiti kwanza.
Alianza yeye kuchukia wenzie. Matukio ya kufungwa gerezani, kutekwa, kupotezwa na kupigwa risasi hizo zote ni chukiiiiiii tupu. Ukichukia watu na wao watakuchukia tu.Chuki chuki chuki sijui kwanini mnamchukia Magufuli. Kua mpinzani sio nafasi ya wewe kupinga kila kitu, yani umelala kwako umeshajua kabisa Raila Odinga atakuja kuzungumzia nini? Yani wewe ndio umemwandikia Odinga kwenye karatasi yake ya kuja kuongea? ..wote hatu
Acha utoto wa kishamba yaani Dk Mollel hajui hata Muhimbili palivyo? Amefanya kazi seriklini kwa muda mrefu tu. Na amesomea.hapo hapo Muhimbili. Au sababu alilipua ishu ya kumpiga risasi Lissu ndio maana mnachukia?Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o
Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.
Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.
Tanzania tuko chini kiasi hiki?
Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.
Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Tanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope
Imagine Raila kuja Tanzania kumshawishi Rais afuate taratibu za kitaalamu ili kutokomeza ugonjwa. Tumekuwa hatuaminiki kabisa.
Awamu iliyopita ilijenga diplomasia kiasi kwamba kila Nchi kubwa America, China, India zilikuwa zinapishana angani kuja Tanzania kutangaza misimamo na sera zao leo =o
Uingereza imeondoa raia wake, ili kuwakoa wasije kufia ugenini ikawa aibu kwa Taifa kubwa kama British.
Nashauri tu wataalamu waachiwe na Ndugulile arudishwe ili tutengeneze takwimu vizuri maana huyo mwingine hatumjui alafu hatuna historia yake kikazi. Hapa muhimbili hajui hata malango wa kukingilia.
Tanzania tuko chini kiasi hiki?
Yaani ili kutuonyesha kuwa upinzani sio Ugonvi au vita au Fitina Raila katumwa na Raisi wa Kenya aje apatanishe atuweke sawa.
Hongera sana wa Kenya kwa kutujali.
Unanipinga wakati uko mabwepande huko! Unajua tunahangaika vip na wagonjwa wa corona. Pumbafu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako ni wa kipumbavu wa kumrudisha ndungulile nadhani wewe ni chadema unampiga vita Mollel kwa vile aliondoka chademaTanzania tulikuwa wapatanishi na waheshimiwa sana Ulimwenguni. Tulijijengea sifa kubwa sana, yale yote yaliyofanyika na watangulizi leo yamekuwa matope