Raila Loses His Cool, Calls Uhuru and Ruto Criminals

Raila Loses His Cool, Calls Uhuru and Ruto Criminals

It won't be the end of the world if he loses in court. He'll live to run another day.

What do you take him for? Abdoulaye Wade?

I bet he would retire, at least semi retirement. Unless he is really power crazy.

Martha Karua is already telling Kenyans to mind their own businesses and stop asking her what is her next move, imagine that coming from someone who wanted to be president!
 
Wnaoshangazwa na kauli hii ya Raila ni waoga tu na wale wenye maahaba na Uhuru. Kama mtu ameamua kuchukua njia ya mahakama kutafuta haki yake anayoona imeporwa kuna tatizo gani?? Mwaka 2007 alipokataa kwenda mahakamani yakatokea maafa kwa wakenya, sasahivi anaamua kwenda mahakamani watu wale wale waliokuwa wakimtaka aende mahakamani wanageuka kumtaka akubali yaishe, huo utakuwa ni ujinga.

Yes Odinga amewaita Uhuru na Ruto ni criminals na kama wanadhani wanaweza kumfanya chochote basi wajaribu waone huo mlipuko utakaotokea Kenya. Binafsi namkiubali sana Odinga kwa kuwa mtu wa kujiamini kwa kila anachofanya. Na huo ndio mfano wa kuigwa kwa wanasiasa, sio kuwa wanafiki wanafiki tu ili kuwafurahisha baadhi ya watu kwa ajili ya kujipatia mkate wa kila siku.

Hakuna anayepinga Omollo kwenda mahakamani lakini ni muhimu aende with dignity, kwa kiongozi wa aina yake kufanya name calling ni mbaya sana na ni hatari kwa stability ya nchi kumbuka yeye ni mmoja wa watu wenye wafuasi wengi sana, kauli zake zinachukuliwa kwa umakini mkubwa na wafuasi wao
 
What do you take him for? Abdoulaye Wade?

I bet he would retire, at least semi retirement unless he is really power crazy.

Martha Karua is already telling Kenyans to mind their own businesses and stop asking her what is her next move, imagine that coming from someone who wanted to be president!

Wade ain't got nothing on Mugabe.

ZIMBABWE is bracing itself for crucial elections this year and once again the battle for supremacy is likely to be between President Robert Mugabe's Zanu PF and the MDC-T, Prime Minister Morgan Tsvangirai's, although Welshman Ncube's MDC may snatch enough seats to have a say on how the country is governed for the next five years. Source

But I take what he (Raila) is doing to be more than just for himself. I take it to be for posterity's sake. That posterity will be able to look back and learn something from it - that there is a better way of resolving electoral disputes than taking it to the streets and hack each other.

Deadly violence can be eschewed by fighting it out in the court of law.
 
That posterity angle, I doubt if most are focused on such a lofty but real concern. I raised it before, only to be misunderstood as being uppity with non-utilitarian ivory tower ideals.

Wade trumps Mugabe in that he lost so many times but didn't lose the faith, until he won out of sheer sympathy, only to disappoint the Senegalese by his monarchical designs at the end.

Hili bara hili!

Hao hao wanamapinduzi ndio hao hao wanaokuwa mbwanyenye.

Where is Museveni and his razor sharp revolutionary appeal?
 
No, let him follow the proper established means for contesting election results. It's his constitutional and democratic right.

Na unadhani atashinda uchaguzi ukurudiwa? He lost not because he is incapable but because he did not have enough voters against his opponents......on tribal grounds only.

Kikuyus+Nandis+Kalenjins+Luhyas > Luos+Kambas
 
this man raila is full of himself, he talks as if he owns the court and has put the verdict in their mouth, nobody owns the supreme court so, they were never going to accept defeat. and even now they are never going to accept defeat in the event the court issues a runoff. crying foul is always a strategy to destabilize normal operations to stall.

CORD do not have the decorum and I see a tumultuous time ahead with this group, how will this group be handled now. If the worse comes to the worst raila has contacted his Genocidaires to accompany him in creating a petition to court
 
Raila alivyokubali kuwa PM alikubali "burden of incumbency" na kupoteza oppositional appeal.

Raila amekosa kura nyingi za likely voters wake waliompigia Mudavadi.

Pia kazidiwa voter registration kwenye strongholds zake.

Usisahau pia kwamba ka disappoint a number of rafiki zake aliokuwa nao tangu kitambo, ambao wamemuona ni msanii tu vile vile.

huu usani ulimpotosha alipofikili wajumbe wa emminent personalities watawasili kunegotiate madaraka. hivi hakutambua jukumu la hawa kwamba ilikuwa nikumediate tu kutatua migogoro na sio kumtafutia madaraka ya uPM ambao umekuwa mzigo bila faida kwa wakenya. kwa sasa anatumia nguvu nyingi kujaribu kuibua tetesi bure akimpa kalonzo mzigo mkubwa sana, ambaye inasemekana ameongea na uhuru jinsi watakavyosaidiana na kufanya kazi pamoja
 
Whatever happened to we want a peaceful kenya blah bluh? Politicians will always be shamefully politicians!

Dada king'asti,kikuyus uwezi kuwashinda kwa ubishi,na ndio wamejaa humu.hawa jamaa ni ma trouble makers sana.haki ya nani cord wakishinda kesi utaona jeshi lao la mungiki litakavyo fanya.yaani wao wanaona kwamba wao ndio the choosen tribe ambao wanafaa kuongoza.alafu ni wabaguzi sana.angalia utawala wa kibaki nafasi nyeti kwenye taasisi za serikali ni mkikuyu tu.
 
Hahahaha,eti kalonzo kaongea na uhuru.kibari una mahaba sana na uhuru.umeahidiwa cheo cha msemaji wa serikali eti eeh!au upo kwenye kitengo cha propaganda.
 
Hahaha,

Kwa nini?

Unafikiri Odinga anamsoma Miguna? He is so full of himself he probably thought the sea could part for him, the new Moses.

Huyu Bwana kwenye serikali ya Kibaki alifanywa boya tu.

Sasa licha ya machafuko yaliyotokea na jumuiya ya kimataifa kuingilia kati hakuambulia kitu na hakuweza kufanya chochote, angeweza kufanya nini kwenye uchaguzi ambao anashindana na almost incumbent president?

Au alidhani katiba mpya itamuokoa?

Baada ya mwaka huu ajipumzikie tu maana hatafaa kwa chambo wala kwa kuliwa
 
Hata akitiwa ndimu hatafaa kwa kulumangia na akiungwa tui la nazi hatafaa kutowezea....
🙂 asalam aleykum
Uwapo?
 
Whether ni kwa maujanja-ujanja, maruhani au 'clean sweep', lakini aliyemkosesha urais Raila ni Rutto. Huyu bwana (Rutto) anajua kuchanganya karata vizuri na yuko very determined. And if you ask me, ICC itakuwa imempa nguvu zaidi za kupambana na Raila.

Raila alifanya kosa pale alipoegemea ICC kama 'asset' yake, lakini pia Team yake (CORD) ilijaa sura zile zile - wachovu. Imegharimu, na sasa ajipange kivingine lakini urais kaumwaga mwenyewe.

Hata hivyo, Jubilee wajiandae kwa visasi.
 
Na unadhani atashinda uchaguzi ukurudiwa? He lost not because he is incapable but because he did not have enough voters against his opponents......on tribal grounds only.

Kikuyus+Nandis+Kalenjins+Luhyas > Luos+Kambas

Hata kama hatashinda uchaguzi ukirudiwa si vyema kumminyia haki yake. Hivyo, aachwe aende mahakamani ambako haijulikani kama mahakama itakubaliana naye au la manake chaguzi za Afrika zimejaa mizengwe kibao.

Inawezekana kweli team Uhuru walichakachua matokeo kwa sababu margin iliyompa ushindi nayo ni suspect vilevile. Mtu unashinda kwa .07....that's barely making it.

Namuunga mkono Raila kwenda mahakamani. Ni haki yake kama ilivyo haki kwa Mkenya yeyote yule.
 
Namuunga mkono Raila kwenda mahakamani. Ni haki yake kama ilivyo haki kwa Mkenya yeyote yule.
bora wewe umeona hili kuna wanasiasa wa Tanzania wanamtaka Raila hasiende mahakamani kuepusha machafuko, sio sahihi hata kidogo, ni kushindwa kuelewa dhana nzima ya haki na haki inatafutwaje
 
bora wewe umeona hili kuna wanasiasa wa Tanzania wanamtaka Raila hasiende mahakamani kuepusha machafuko, sio sahihi hata kidogo, ni kushindwa kuelewa dhana nzima ya haki na haki inatafutwaje

Bwana Safari hapo juu alitolea mfano wa Albert Gore Jr. Well, Gore mbona alienda Florida Supreme court. Aliposhindwa huko akaenda US Supreme court. Huko nako akagonga mwamba na kama alivyoahidi aka-concede na kusonga mbele na maisha yake.

Vivyo hivyo, Raila naye aende tu mahakamani. Wanaom-discourage asiende wanaogopa nini? Na aende tu. Kama kweli Uhuru kashinda kihalali basi wanazi wa Uhuru wasiwe na wasiwasi.
 
keshasema anaenda mahakamani. sasa mbona anatoa hukumu na kuita watu criminals. hayo ndo maneno ya uchochezi ambayo siku ile ya debate ya kwanza na ya pili wote kwa kauli moja walikubali hawayataki.
you wonder how kenneth is still my choice (shhhh!)

Back
Top Bottom