It won't be the end of the world if he loses in court. He'll live to run another day.
Wnaoshangazwa na kauli hii ya Raila ni waoga tu na wale wenye maahaba na Uhuru. Kama mtu ameamua kuchukua njia ya mahakama kutafuta haki yake anayoona imeporwa kuna tatizo gani?? Mwaka 2007 alipokataa kwenda mahakamani yakatokea maafa kwa wakenya, sasahivi anaamua kwenda mahakamani watu wale wale waliokuwa wakimtaka aende mahakamani wanageuka kumtaka akubali yaishe, huo utakuwa ni ujinga.
Yes Odinga amewaita Uhuru na Ruto ni criminals na kama wanadhani wanaweza kumfanya chochote basi wajaribu waone huo mlipuko utakaotokea Kenya. Binafsi namkiubali sana Odinga kwa kuwa mtu wa kujiamini kwa kila anachofanya. Na huo ndio mfano wa kuigwa kwa wanasiasa, sio kuwa wanafiki wanafiki tu ili kuwafurahisha baadhi ya watu kwa ajili ya kujipatia mkate wa kila siku.
What do you take him for? Abdoulaye Wade?
I bet he would retire, at least semi retirement unless he is really power crazy.
Martha Karua is already telling Kenyans to mind their own businesses and stop asking her what is her next move, imagine that coming from someone who wanted to be president!
ZIMBABWE is bracing itself for crucial elections this year and once again the battle for supremacy is likely to be between President Robert Mugabe's Zanu PF and the MDC-T, Prime Minister Morgan Tsvangirai's, although Welshman Ncube's MDC may snatch enough seats to have a say on how the country is governed for the next five years. Source
Wade ain't got nothing on Mugabe.
But I take what he (Raila) is doing to be more than just for himself. I take it to be for posterity's sake. That posterity will be able to look back and learn something from it - that there is a better way of resolving electoral disputes than taking it to the streets and hack each other.
Deadly violence can be eschewed by fighting it out in the court of law.
what about the 5 million plus Kenyans who voted Rao and expected fair play? This is not about Raila its about free and fair election.
Ata mimi nimeshtuka kidogo nilipoona jamaa kaswekwa lupango, ingawa sijui imekuweje!Mbona mbuzi mzee kawa banned, kuna ni?
No, let him follow the proper established means for contesting election results. It's his constitutional and democratic right.
I couldn't agree more with you!
Raila alivyokubali kuwa PM alikubali "burden of incumbency" na kupoteza oppositional appeal.
Raila amekosa kura nyingi za likely voters wake waliompigia Mudavadi.
Pia kazidiwa voter registration kwenye strongholds zake.
Usisahau pia kwamba ka disappoint a number of rafiki zake aliokuwa nao tangu kitambo, ambao wamemuona ni msanii tu vile vile.
Whatever happened to we want a peaceful kenya blah bluh? Politicians will always be shamefully politicians!
Hahaha,
Kwa nini?
Unafikiri Odinga anamsoma Miguna? He is so full of himself he probably thought the sea could part for him, the new Moses.
Huyu Bwana kwenye serikali ya Kibaki alifanywa boya tu.
Sasa licha ya machafuko yaliyotokea na jumuiya ya kimataifa kuingilia kati hakuambulia kitu na hakuweza kufanya chochote, angeweza kufanya nini kwenye uchaguzi ambao anashindana na almost incumbent president?
Au alidhani katiba mpya itamuokoa?
Baada ya mwaka huu ajipumzikie tu maana hatafaa kwa chambo wala kwa kuliwa
Na unadhani atashinda uchaguzi ukurudiwa? He lost not because he is incapable but because he did not have enough voters against his opponents......on tribal grounds only.
Kikuyus+Nandis+Kalenjins+Luhyas > Luos+Kambas
bora wewe umeona hili kuna wanasiasa wa Tanzania wanamtaka Raila hasiende mahakamani kuepusha machafuko, sio sahihi hata kidogo, ni kushindwa kuelewa dhana nzima ya haki na haki inatafutwajeNamuunga mkono Raila kwenda mahakamani. Ni haki yake kama ilivyo haki kwa Mkenya yeyote yule.
bora wewe umeona hili kuna wanasiasa wa Tanzania wanamtaka Raila hasiende mahakamani kuepusha machafuko, sio sahihi hata kidogo, ni kushindwa kuelewa dhana nzima ya haki na haki inatafutwaje
Hata kama hatashinda uchaguzi ukirudiwa si vyema kumminyia haki yake. Hivyo, aachwe aende mahakamani ambako haijulikani kama mahakama itakubaliana naye au la manake chaguzi za Afrika zimejaa mizengwe kibao.
Inawezekana kweli team Uhuru walichakachua matokeo kwa sababu margin iliyompa ushindi nayo ni suspect vilevile. Mtu unashinda kwa .07....that's barely making it.
Namuunga mkono Raila kwenda mahakamani. Ni haki yake kama ilivyo haki kwa Mkenya yeyote yule.