Johnson Alex Otieno
Senior Member
- Mar 14, 2013
- 172
- 57
Wanasiasa wa kiafrika wakati mwingine ni aibu tupu hasa wale waliokuwa na madaraka makubwa, kwanini huwa hawapendi kukubali maamuzi ya wapiga kura? Kipi kinachomfanya Raila aamini kuwa ameibiwa kura, huko ku delay kutangaza matokeo?! mi nafikiri ifike mahali akubali tu kwa Amani ya Kenya!
Hata kama hatashinda uchaguzi ukirudiwa si vyema kumminyia haki yake. Hivyo, aachwe aende mahakamani ambako haijulikani kama mahakama itakubaliana naye au la manake chaguzi za Afrika zimejaa mizengwe kibao.
Inawezekana kweli team Uhuru walichakachua matokeo kwa sababu margin iliyompa ushindi nayo ni suspect vilevile. Mtu unashinda kwa .07....that's barely making it.
Namuunga mkono Raila kwenda mahakamani. Ni haki yake kama ilivyo haki kwa Mkenya yeyote yule.