666 chata
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 1,700
- 3,921
Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki electronic, na wapinzani wao, tume ya uchaguzi pamoja na bw. Ruto mwenyewe wana siku 4 za kujibu.
Babu kalianzisha tena upya huko. Kwa mujibu wa sheria zao ni kwamba Mahakama hio itakua na maamuzi ya aina tatu tu yaani, kuthibitisha matokeo yaliotolewa yalikua halali, kuyafutilia mbali matokeo hayo au kuomba uchaguzi urudiwe upya.
Kenya anaendelea kua baba wa demokrasia africa nzima🙌🏾, tunalo kubwa sana la kujifunza toka kwa hawa jamaa.